Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Na naskia mke wale yuko serious ana mchezo na afya ya mumewe.Yuko vizuri !! Precautions ni muhimu kwa wazee !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na naskia mke wale yuko serious ana mchezo na afya ya mumewe.Yuko vizuri !! Precautions ni muhimu kwa wazee !!
Huyo zito akiwa anakugonga ndio anakudanganyaga 2025 atachukua nchi ili aendelee kukugonga shtuka wewe atakuchakaza tu na hata hakuna mtu anayemuelewa huyo bwana wakoPoleni sana Sukuma gang but msiba wa JPM hauna compensation. Mkijitia moyo kwa vifo vya wastaafu ni kujilisha upepo tu. Mmeleta siasa za chuki wenyewe acheni mvune mlichopanda. Mpaka mfike 2025 mtakua mmegawanyika Ili mtupishe
Safi sana !!Na naskia mke wale yuko serious ana mchezo na afya ya mumewe.
Poleni sana Sukuma gang najua mna stress baada ya shetani wenu kuondoka. Ila mkubaliane na ukweli kwamba kifo cha JPM hakiwezi kuwa compensated na vifo vya wanasiasa waliostaafu baada ya kutumikia utumishi wao wote Hadi kumaliza. kitu ambacho JPM hakufikia!!Huyo zito akiwa anakugonga ndio anakudanganyaga 2025 atachukua nchi ili aendelee kukugonga shtuka wewe atakuchaza tu na hata hakuna mtu anayemuelewa huyo bwana wako
Ni John okeloUoga ni ujinga Karume angeogopa Zanzibari isingejikomboa kutoka katika Usultani.
Mahakama ikiamua utalipa tu, mbona kina Mbowe walipigwa fine ya million 300 na wakaambiwa walipe au wafungwe!!?Kuamini kuwa musiba angelipa hilo deni ni ujuha wa hali ya juu
Hao ni CCM wenzenu mie hainihusu ila Mimi nmekuja tu kukwambia kutafuta faraja ya kifo cha JPM kupitia misiba ya wastaafu ni kujidanganya tu.Cha muhimu ni kwamba wema hawafi
Sawa mke wa zitto kwani zitto na yeye amestaafu mme wako .Poleni sana Sukuma gang najua mna stress baada ya shetani wenu kuondoka. Ila mkubaliane na ukweli kwamba kifo cha JPM hakiwezi kuwa compensated na vifo vya wanasiasa waliostaafu baada ya kutumikia utumishi wao wote Hadi kumaliza. kitu ambacho JPM hakufikia!!
Umesahau msamaha, ujiandae ukiombwa msamaha kubali kusamehe kama jembe alivyo msamehe nape, vinginenvyo unaenda kuchezea mototu.SIRI YA KUKISHINDA KIFO NI KUJIANDAA KUKIPOKEA, maana hujui LINI, SIKU, wala SAA kitakuja, tuishi vizuri wanajamvi, hatuna haja ya kutukanana, kuzulumiana, kutesa wengine, kutenda uovu, wala kuchepuka([emoji23][emoji23][emoji23]) tangulia Mkuu Membe, uwe na sehemu njema huko ulipo.
Cha muhimu kwa sasa ni..Hao ni CCM wenzenu mie hainihusu ila Mimi nmekuja tu kukwambia kutafuta faraja ya kifo cha JPM kupitia misiba ya wastaafu ni kujidanganya tu.
Mnatia huruma sana nyie Wana CCM [emoji23][emoji23]
Aligombea uraisi wa nini kama alistaafu, tuwape pole wafiwa sukuma gang hawana cha kupotezaPoleni sana Sukuma gang najua mna stress baada ya shetani wenu kuondoka. Ila mkubaliane na ukweli kwamba kifo cha JPM hakiwezi kuwa compensated na vifo vya wanasiasa waliostaafu baada ya kutumikia utumishi wao wote Hadi kumaliza. kitu ambacho JPM hakufikia!!
Ndio hivo shetani wenu ameshaoza hawezi kurudi. Accept and move on.Sawa mke wa zitto kwani zitto na yeye amestaafu mme wako .
Hainihusu, JPM CCM na Membe CCM. So deal with your messCha muhimu kwa sasa ni..
Wema hawafi
Bahari imetulia
Mungu ameamu ugomvi
Mungu fundi
Naona malaika ni huyo alijifia leoNdio hivo shetani wenu ameshaoza hawezi kurudi. Accept and move on.
Jibuswali acha kurukaruka, wazuri?.......Hakuna kumbukumbu ya Membe kutesa watu kwa furaha ya nafsi yake au kwa kupata sifa toka kwa watu wasio na utu.
Membe hakuwa Sadist!!
Mbona akitangaza kuwa hayupo kwenye active politics baada ya uchaguzi otherwise angekula teuzi kitambo.Aligombea uraisi wa nini kama alistaafu, tuwape pole wafiwa sukuma gang hawana cha kupoteza
kila mtu atakufa na ataoza hata wewe na huyo bwana wako zitto machunusi mtakufa na tutashelekea kama tunavyoshelekea leo 😂😂😂Ndio hivo shetani wenu ameshaoza hawezi kurudi. Accept and move on.