TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
yule alikuwa ibilisi, watanzania wanateseka mpaka leo kwasababu ya yule mwovu, wasomi wanadhalilika mitaani kwasababu ya yule shetani. Membe amewakosea nini watanzania? Hajawahi kuwa na cheo cha yule mfu wenu. Mtaweweseka sana ndio ameshakufa na hawezi kufufuka. Bila haya, mkombozi wetu, alikukomboa wapi we mpumbavu
[emoji1787][emoji1787]Punguza jazba mkuu relux, kunywa maji then futamajasho, wazuri hamfi.
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Sukuma gang hamkumuelewa Mzee Makamba au ni sababu ya chuki na nongwa tu?

Mbona ni msemo wa kawaida miongoni mwa wasomi na werevu?

Kwamba watu wema hawafi maana yake “ wanakuwa kama vile wamelala tu sababu matendo yao mema yanabaki kuishi”

Ni msemo wa kawaida miongoni mwa jamii ya waelewa.

Na unahamasisha watu kutenda mema ili wakifa yale matendo yao mema yatakuwa yakienziwa kana kwamba wapo hai.

Asomaye na afahamu.
Sawasawa 👍 👍
 
Yeah Mimi nitakufa but Sina ubaya niliomfanyia mtu tofauti na huyo ibilisi wenu aliumiza wengi sana. Ni sawa Leo ushangilie kifo cha Lowassa?? Itasaidia Nini?
Una ubaya wewe ni malaika hadi useme una ubaya tena wewe unaonekana ni mbakaji. Hayo mabaya aliokufanyia magufuli una ushahidi nayo.
Ebu nenda kamuhudumie kwanza zitto machunusi .
Alafu hapa unafanya nini wakati mna msiba wa Rais wenu nendeni mkaomboleze huko fala wewe
 
Kama ulishindwa kung'amua maana ya huo msemo basi wewe ni kilaza kweli kweli, labda nikuulize swali ni mazingira gani yalisababisha Makamba akaropoka hiyo kauli?.



Unasema aliropoka?

Vipi wakati wa campaign ya uchaguzi Mkuu wa kwanza aliposema “ JK aliwabatiza wapinzani Kwa maji , lakini Magufuli atawabatiza wapinzani Kwa moto”

Hayo maneno uliyaonaje?

Yaani akifagilia sawa Ila akiongea kwa kutomuelewa mnasema ameropoka?

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Sukuma gang hamkumuelewa Mzee Makamba au ni sababu ya chuki na nongwa tu?

Mbona ni msemo wa kawaida miongoni mwa wasomi na werevu?

Kwamba watu wema hawafi maana yake “ wanakuwa kama vile wamelala tu sababu matendo yao mema yanabaki kuishi”

Ni msemo wa kawaida miongoni mwa jamii ya waelewa.

Na unahamasisha watu kutenda mema ili wakifa yale matendo yao mema yatakuwa yakienziwa kana kwamba wapo hai.

Asomaye na afahamu.
Acha kupaka rangi upepo dogo!
 
Hata mimi nashangaa eti wanaomdai Musiba waendelee kushindana na Musiba wakati trela ya picha imeonekana. Labda kama wanakuwa wamedhulumiwa pesa, lakini fidia watapotezea tu kuliko kutangulia

Ushirikina upo na unafanya kazi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Jitekenye na kujitia dole mwenyewe kisha nusa, Wakili wa Membe tayari ameshatowa statement madai yako pale pale.
 
Sukuma gang hao mawakala wa shetani mtoa roho,Achana nao fanya kazi yako endelea kumtukuza Mingu kwa kukupa uhai na kushuhudia utukufu wake.Membe kafa kifo chema Miaka 70 wengine hatutafika huko hata yule dhalimu hakufikisha hiyo miaka.
Mungu ameingilia kati, ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga... karma is a bitch
 
Back
Top Bottom