Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli anapaka rangi upepo huyuAcha kupaka rangi upepo dogo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂Mkuu achaa nipate ban, moja ya watu wajinga nchii hii wenye vichwa venye funza niwewe, whenever you type inaonyesha you are so confused stupid na pia always grabbing attention stupid ass. Haiwezekani sabaya ,musiba na so your type hawajakosea wa Tanzania.
Uko nje ya maana kabisaa, but sorry best.Kama sina kazi nakula nn? Unajua binadamu tumepewa utashi lakin tuna uvivu wa kuutumia. Mimi naishi kama kawaida mipango inaenda. Ina maana kila siku lazma nile ninywe. Je kama sina kaz nakual nn?
Siyo lazima usome Wala kuelewaAndika kiswahili kingereza kukijui kabisa. Sasa umeandika nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Foleni ya walionekana wema ambao hawafi imeanza kutembea taratibu, Dj walete kwa wimbo waupendao
lete uthibitisho kama unao usidhanie tu kuwa alichekelea kifo cha JPMKwani yeye na wakina Mbowe,kikwete et al ni siri kuwa walichekelea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamemgusaa mazimaa, akanuke huko mavumbiniiii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani punguzeni ujinga wenu
Membe kafaaaaa jaman, hebu tuachee bhana wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amestaafu so Hana impact same na Lowassa au Salim Leo wakifariki Kuna impact yoyote? Ila wa JPM ulikua unique sababu kafia madarakani lakini pia alikua very powerful kama Putin hivi.
So msitafute consolation kwa misiba mingine, nothing beats kifo cha Rais madarakani
Naibu mkuu wa tiss 1990+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu mavi yanagonga chupi yanarudi
Mwingine anavaa bikini mwingine boxerSasa Zitto = mange
Tofauti zao ni mmoja yupo marekani mwingine Tanzania
Msiba wao unaagwa karimjee hall kwa watu baadhi, akati JPM taifa zima lililia kwa mkapaa.Kufa lazima, lakini nyie Magufuli alipokufa mlikenua meno yote mpaka la mwisho na vigelegele juu, mbona leo nyie inawauma? Au sisi tulizika tofali? Mnavyoumia nyinyi na sisi tuliumia hivyo hivyo kwahiyo kaeni kwa kutulia dawa iingie.
Kazi za kishetani zinaamuliwa kishetani, si na MunguMungu ameingilia kati, ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga... karma is a bitch
Kwaiyo Wazuri awafi?Ukwel unakemewa tena?
Hiv mnajua hata kina max wa JF walitishiwa? Kama hawakusimama imara pengine leo tusingekuwa na hii JF mnapojinoma kwa id fake
Sio Musiba pekee yake, wako wengiiiiiiiKatika vifo ambavyo mtu anaweza akalala uaingizi mnono, kucheka peke yake na kujibaraguza kuwa ana huzuni, kutohoa tabia zake na kuwa mlevi ama mzinzi kwa kujifariji ni hiki kifo cha Membe kwa hasimu wake Musiba!
Ciprian Musiba sasa hivi anajipongeza kwa njia ya kimojawapo nilivyovitaja hapo juu!
Alibanwa mbavu na dunia aliona imemchukia.
Lakini kupitia hili tukio, Musiba ana kila aina ya furaha na faraja isiyo kifani.