TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Ninashukuru Sana mkuu. Ni hizi za aina ya spices kama tangawizi, tunguu maji na swaumu, limao, mdalasini, mchaichai n.k Je navyo siyo sahihi kutumia ukiwa na dawa za hospital? Mfano Mimi nilipewa Azythromycine, dawa ya kikohozi na Aspirin Junior Ila nikawa na vitamin D, C na Zincovit. Ambazo vitamin natumia mpaka Leo. Aspirin Junior nilimeza kama wiki nikaacha. Je niendelee Asprin Junior mpaka zote ziishe?
Hapo hapana shida mkuu

Nlijua Ni mitishamba kabisa

Kuchanganya mitishamba na dawa za hospitali mara nyingine hupelekea acute kidney injury mkuu
 
Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Bw. Membe. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu pema peponi. Amina. Siasa zetu za zama hizi haziwezi kuandikwa vya kutosha bila kutaja jina na mchango wa Membe. Amelitumikia taifa vyema. Apumzike kwa Amani.
 
Wazuri hawafi - Marope Snr



Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Sukuma gang hamkumuelewa Mzee Makamba au ni sababu ya chuki na nongwa tu?

Mbona ni msemo wa kawaida miongoni mwa wasomi na werevu?

Kwamba watu wema hawafi maana yake “ wanakuwa kama vile wamelala tu sababu matendo yao mema yanabaki kuishi”

Ni msemo wa kawaida miongoni mwa jamii ya waelewa.

Na unahamasisha watu kutenda mema ili wakifa yale matendo yao mema yatakuwa yakienziwa kana kwamba wapo hai.

Asomaye na afahamu.
 
Tuendelee kusubiria wengine baada ya Membe kufungua njia kutoka kwenye ule muungano wao? Leo umoja umekumbwa na taharuki kuu.

Tuzidi kutegemea taharuki zaidi?
 
RIP Kachero uliyemfunza Adabu Musiba,
By the way, kwani deni si lipo palepale? na Je ni Hayati Pekee ndo aikuwa anamdai Musiba si wapo wengine, nia ni kutokumpa gap huyu Mwanakijiji Musiba!!
Unafikiri hao wengine watakuwa wana nguvu ya kumdai Musiba. Hivi hamjawi kuishi na watu wanatoa trela ya picha, kijiji kizima kinaanza kumuogopa!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mfalme daudi alifunga na kuomba ,Allah amteteee dhidi ya mtesi wake sauli ,mwisho wa siku sauli akadondoka na kupoteza uhai,japo daudi alisikitika lakini alimshukuru Allah kwa kujibu maombi yake ,na kumrejeshea amani Tena.

NB.Tupendane ,sisi sote ni watoto wa baba mmoja.
 
Kila kinara wa kujitoa kafara kuangusha tawala au mtawala fulani nae hachelewi kufa, zile clips hazikuwa za bure kafara ni hapa hapa Duniani. Mungu habagui it has begun
 
Unamuelewesha tutusa
Defamation ni personal matter, hakuna mtu anaeweza mdai Musiba zaidi ya Membe ata kama mahakama imetoa hukumu; aliekusudiwa kulipwa hayupo tena.

Si usubiri uone badala ya kupiga kelele za chuki.

We unadhani Musiba akifungua kesi ya appeal na mdai hayupo kuna kesi tena hapo; wakati ni personal matter.

Hilo deni halipo tena technically
 
Musiba .....imepelekea Msiba!... Mambo ya kilingeni hapa lazima yamehusika....
Watu wengi hawaamini ushirikina lakini kiukweli ushirikina upo na unafanya kazi.

Musiba si alikimbilia huko kijijini. Ushirikina hauzuiliki kwa mabodigadi jamani!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hamna Cha kunyolewa , Wewe umsamehe Gaidi Mbowe, alafu Sabaya, Makonda,Musiba, Vijana wanaolipigania Taifa, Uwaadhibu Kwa sababu tu ya Uzalendo wao????. .

Mkuu achaa nipate ban, moja ya watu wajinga nchii hii wenye vichwa venye funza niwewe, whenever you type inaonyesha you are so confused stupid na pia always grabbing attention stupid ass. Haiwezekani sabaya ,musiba na so your type hawajakosea wa Tanzania.
 
Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!
Wataisha wanafamilia sasa. Ngoja tuone

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Sukuma gang hamkumuelewa Mzee Makamba au ni sababu ya chuki na nongwa tu?

Mbona ni msemo wa kawaida miongoni mwa wasomi na werevu?

Kwamba watu wema hawafi maana yake “ wanakuwa kama vile wamelala tu sababu matendo yao mema yanabaki kuishi”

Ni msemo wa kawaida miongoni mwa jamii ya waelewa.

Na unahamasisha watu kutenda mema ili wakifa yale matendo yao mema yatakuwa yakienziwa kana kwamba wapo hai.

Asomaye na afahamu.
Yule mzee hakumaanisha maana hiyo..
 
Back
Top Bottom