Kiukweli kabisa tangu nizaliwe hakuna msiba niliouona watu wanasherehekea na kumsifu na kumshukuru mungu kama kifo cha magufuli,mfano mtaani kwetu kuna daktari alichinja mbuzi kama shukrani
 
Pumzika kwa amani Jasusi Benard Cammilius Membe, waswahili wanasema kulia ni kupokezana. Kauli ya kamaradi wako Mzee Makamba inatumika kukupiga "watu wazuri hawafi". Japo umekata kauli , msiba wako unatoa taswira jinsi kulivyo na tabaka mbili katika Watanzania. Tabaka lililoumizwa na msiba wa JPM leo ndio wanasherekea mauti yako. Tabaka la walifurahia kifo cha muzilankende muyango Leo ndio wanakulilia japo hawana nguvu ya UMMA nyuma yao na msiba umebaki wa familiar chache za mikocheni na masaki.
 

Poleni Wafiwa, Kuimba kupokezana
 
Usilipize ubaya kwa ubaya ndugu yakupasa uwaombee wale wanaobehave kama wanyama kitu pekee kinachotutofautisha binadamu na wanyama ni uwezo wa kutambua mema na mabaya vinginevyo tutakuwa hatuna tofauti na punda.
Ni ujumbe mzuri ila kwa zile dhihaka mbele ya mwili wa raisi wa wanyonge haikuwa poa 😀 acha na leo watu walipe kisasi.
 
Natumaini mnafaidika sana na hizi kuni mnazozichochea.

Nilimpenda JPM lakini sikuwa na amani kwa namna alivyokuwa anashughulikia waliompinga

Membe ni alama ya ushujaa kwa sababu yeye na Fatma Karume ndiyo walioudhihirishia umma kuwa awamu iliyopita ilitumia rasilimali za nchi kuwasakama na kuwatisha waliomkosoa mtawala. Sote tuliona matokeo.

Leo unaposimama kuzidisha uchochezi kuwa vifo vya hawa viongozi wetu vina timu za ushabiki ni wazi hata wewe ni mmoja wa wanaosheherekea vifo vya watu uliotofautiana nao.

This must stop

Lala pema Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…