Mkuu, unajua kabisa Mimi huwa nachukulia mabandiko yako kwa uzito mkubwa. Nakuamini kwa sababu nikama ulikuwa Karibu kiasi na familia ya Mzee Membe(RIP)- Mzee alisoma na Baba yako Mkubwa.
Ukweli ni kwamba, mimi sikuwa karibu nae bali ndugu zangu WENGI (wa karibu) ndio walikuwa karibu nae, TENA SANA!
Maishani mwangu nimewahi kukutana nae mara 2 TU, mara ya kwanza nyumbani kwake na mara ya pili, kwenye msiba wa kakake!
In short, nilijitenga nae (though ndivyo nilivyo) manake ingawaje nilipoenda nyumbani kwake alinipatia namba yake, bado SIKUWAHI kumpigia hata mara moja!!
The question is: Je, kifo chake kimenigusa? The answer is YES! Ikiwa niliguswa hata na kifo cha Jiwe ambae mara kwa mara nilikuwa nampinga, seuze Ben ambae kwa namna moja au nyingine ni kama nilivyosema hapo juu!
Sema maadishi yako kwenye bandiko nilililonukuu hapa juu linanishutua kwa kumalizia sentensi zako na alama ya mshangao (!).
Bila shaka unazungumzia hapa chini
Nasema "umri wa passport" coz' Ben kasoma darasa moja na baba yangu mkubwa, and he's 77 NOW.
Kama ndivyo, nikiri kwamba NILIROPOKA! Unajua Mshua na Ben walikuwa VERY CLOSE to the point niliamini wamesoma DARASA MOJA!
Sasa jana nikaanza kupata mashaka na nilichosema, ikabidi ni-verify nilichosema kwa kumuuliza Mshua vizuri. Kumbe hawakusoma Darasa Moja!
In short, Ben alianza shule wakati Mshua akiwa ndo mwaka wake wa mwisho.
Sasa kwavile wao ndo walibahatika kufika mbali (kielimu na kiutumishi serikalini) huku wakitoka kijiji kimoja, basi nadhani ndicho kilitengeneza bond yao na kuwa kubwa katika maisha yao yote!
So, Ben ni mdogo sana kwa Mshua.
Tulisoma na watu wanatuzidi 10yrs, zamani ilitegemea mtu anatoka familia gani. Kuna familia hazikujali elimu, watoto walienda shule wakiwa 12yrs+ wakati wengine walianza na 7yrs.