Kiukweli kabisa tangu nizaliwe hakuna msiba niliouona watu wanasherehekea na kumsifu na kumshukuru mungu kama kifo cha magufuli,mfano mtaani kwetu kuna daktari alichinja mbuzi kama shukrani
 

Attachments

  • 20230512_232250.jpg
    90.4 KB · Views: 5
Wanaoshangilia kifo ni wajinga. Kifo hata ushangilie kwa adui yako bado na wewe utakufa tu iwe leo au kesho. Sioni sababu ya kushangilia kufo maana wote tutakufa
Maneno hayo ungewaambia kwanza walamba asali, hembu tutolee uchuro hapa, walamba asali walifurahi hadi kwenye mikutano ya chama chao walikuwa wanafurahi na kuimba mapambio na hatukusikia ukilalamika, wazuri hawafi mkuu babu yako alisema.
 
Du nilishamsahau Mabere Marando kama yupo
 
Kuna kiongozi hajawakosea watanzania?
 
Sasa hiyo CV mlio iweka hapa anaenda kuomba kazi huko PEPONI
 
Mungu fundi kama umeumizwa kazikwe nae rondo. Wazuri hawafi bwana
 
Poleni sana kwa kuondokewa na ankoli, na pia hongera sana kwa kupambania mjomba azikwe kwa heshima zote nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…