TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
View attachment 2618749
TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.

Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi

#RIPMembe
#ITVUpdates
Hivi sio mwanachama la wale ambao hawafi kama tulivyowahi kuambiwa na mzee Yusufu?
 
R.I.P KACHERO MBOBEZI,

Najaribu kuwaza BM angeukwaa Uraisi Ile 2015 NDIO kusema Leo tungekua na TANZIA,
Tanzia ya kumpoteza Amir jeshi mkuu...au Kifo kinge be SKIPPED.....

Lowassa is still alive..na wengi wali mtabiria mzee lowassa kua hatoboi... wenyewe NDIO hawajatoboa....

Najaribu kuwaza..

2 Tim 4:7​

Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani Umeilinda

Pumzika Kwa amani,

R.I.P Mh. Benard Membe
 
#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki, Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
View attachment 2618750
Kuhusu deni lake Musiba atakesha baa leo
 
#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki, Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
View attachment 2618750
RIP Kachero uliyemfunza Adabu Musiba,
By the way, kwani deni si lipo palepale? na Je ni Hayati Pekee ndo aikuwa anamdai Musiba si wapo wengine, nia ni kutokumpa gap huyu Mwanakijiji Musiba!!
 
IMG-20230512-WA0065.jpg
 
Back
Top Bottom