KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
I hope umetoboa, make huyo ni kigogo.R.I.P classmate View attachment 2618763
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hope umetoboa, make huyo ni kigogo.R.I.P classmate View attachment 2618763
Hivi sio mwanachama la wale ambao hawafi kama tulivyowahi kuambiwa na mzee Yusufu?View attachment 2618749
TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi
#RIPMembe
#ITVUpdates
Kuhusu deni lake Musiba atakesha baa leo#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki, Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
View attachment 2618750
Kwamba hatalipa? Hiyo haitakaa itokee kwenye madai yake alijumuisha familia Sasa kama unavyojua Kuna Sheria ya mirathi "kukusanya na kulipa madeni yote ya marehemu"RIP Membe.
Msiba kwa membe, harusi kwa Musiba
RIP Kachero uliyemfunza Adabu Musiba,#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki, Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
View attachment 2618750