Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisemaje?Pascal Mayalla mabandiko yako naanza kuyaogopa sasa [emoji31]
Walimwengu washamuua kwa shirki kulinda maslahi ya watu.. Tanzania na shirki ni kama kaka na dada.. RIP Membe..View attachment 2618749
TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi
#RIPMembe
#ITVUpdates
Mkuu haya maisha haya, hapana aisee najirekebisha kuanzia leo..Maisha sio chochote Aisee, ngojea tuendelee kukanyaga na kutembea juu ya ardhi hii kwa adabu na heshima
Upumzike kwa amani ndugu bernad membe, asante sana kwa utumishi na huduma yako katika taifa letu hili.
Ni mirathi ya familia, hakuna nafuu yeyote kwa Musiba.Apumzike kwa amani,kabla haijalipwa na musiba Mungu amemchukua
Amekufa bila kumsahemu Musiba huyu pita kuleeee
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Apumzine kwa AmaniAliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Benard Membe pia alikuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14
Ni kweli.Is this for real?
tafadhal, hakuna tungo tata ya namna hii... kupumzika kwa amani ni kurudi kwa muumba wako.
@Victorie itabid uthibitishe hii Habari tafadhali.
Hizo Ziko pale paleZile hela kwa musiba je
Akamatwe mara moja!Kuna mkono wa Musiba hapo
Ila watu walimwambia aachane na Musibu hasa wazee wa Kanisa
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Benard Membe pia alikuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14
Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!Kuhusu deni lake Musiba atakesha baa leo