Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Alipwe na Nani , halipwi mtuVP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipwe na Nani , halipwi mtuVP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Sasa Musiba kifo cha Membe ndio kitaondowa jukumu ya mahakama?Musiba anachekelea tu 😅😅
Leo lazima afanye sherehe kama anti Jpm walivyofurahia
TENA ndipo watakazia zaidi...KWA uchungu wa hisia kuwa kuna jambo nyuma ya hichi kifoBado heirs wake wata enforce judgment ya mahakama
👊🏾👊🏾Wafilipi 1:21-27
Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.
Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa.
Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi; lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Basi, nitakapokuwa nanyi tena mtakuwa na sababu ya kuona fahari juu yangu katika kuungana na Kristo Yesu.
Basi, jambo muhimu ni kwamba mwenendo wenu uambatane na matakwa ya Injili ya Kristo, ili kama nikiweza kuja kwenu au nisipoweza, nipate walau kusikia kwamba mnasimama imara mkiwa na lengo moja, na kwamba mnapigana vita kwa pamoja na mnayo nia moja kwa ajili ya imani ya Injili.
Sasa unawaza nini wakati aliyeukwaa uraisi 2015 nae alishafariki hata kabla ya MembeR.I.P KACHERO MBOBEZI,
Najaribu kuwaza BM angeukwaa Uraisi Ile 2015 NDIO kusema Leo tungekua na TANZIA,
Tanzia ya kumpoteza Amir jeshi mkuu...au Kifo kinge be SKIPPED.....
Lowassa is still alive..na wengi wali mtabiria mzee lowassa kua hatoboi... wenyewe NDIO hawajatoboa....
Najaribu kuwaza..
R.I.P Mh. Benard Membe
Mkuu samahani mimi kiukweli nipo nyuma sana😂😂 naona watu wengi wanasema musiba atafurahi niwe mkweli tu sijui hata musiba anafurahi KWA sababu gani usinicheke sijui kweli😂😂 naomba nifahamishwe🙏🙏Duh Musiba sasa hvi anachekea chooni!
........kwani Ndg. Mayalla aliwahi tabiri hili......Pascal Mayalla mabandiko yako naanza kuyaogopa sasa [emoji31]
Alisema Membe amsamehe Musiba kwa kuwa viongozi waandamizi wa dini wamemfuata (Membe) kumuombea radhi kwa niaba ya Musiba. Na kwamba asipofanya hivyo atajikuta pabaya
Awapi amekwenda mwenyewe kadri ya ahadiKama wamemtanguliza watamfuata
Deni halifi na Marehemu, hapo kuna Mrithi wa marehemu atakeyerithi pia madeni ya marehemu kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi! Labda amsamehe!RIP Kachero uliyemfunza Adabu Musiba,
By the way, kwani deni si lipp palepale? na Je ni Hayati Pekee ndo aikuwa anamdai Musiba si wapo wengine, nia ni kutokumpa gap huyu Mwanakijiji Musiba!!
#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki, Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
View attachment 2618750
Sasa source itakusaidia nini kama ushaambiwa mtu kafariki?Source tafadhali