TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Wafilipi 1:21-27

Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.

Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa.
Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi; lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.
Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.
Basi, nitakapokuwa nanyi tena mtakuwa na sababu ya kuona fahari juu yangu katika kuungana na Kristo Yesu.
Basi, jambo muhimu ni kwamba mwenendo wenu uambatane na matakwa ya Injili ya Kristo, ili kama nikiweza kuja kwenu au nisipoweza, nipate walau kusikia kwamba mnasimama imara mkiwa na lengo moja, na kwamba mnapigana vita kwa pamoja na mnayo nia moja kwa ajili ya imani ya Injili.
👊🏾👊🏾
 
R.I.P KACHERO MBOBEZI,

Najaribu kuwaza BM angeukwaa Uraisi Ile 2015 NDIO kusema Leo tungekua na TANZIA,
Tanzia ya kumpoteza Amir jeshi mkuu...au Kifo kinge be SKIPPED.....

Lowassa is still alive..na wengi wali mtabiria mzee lowassa kua hatoboi... wenyewe NDIO hawajatoboa....

Najaribu kuwaza..

R.I.P Mh. Benard Membe
Sasa unawaza nini wakati aliyeukwaa uraisi 2015 nae alishafariki hata kabla ya Membe
 
RIP Kachero uliyemfunza Adabu Musiba,
By the way, kwani deni si lipp palepale? na Je ni Hayati Pekee ndo aikuwa anamdai Musiba si wapo wengine, nia ni kutokumpa gap huyu Mwanakijiji Musiba!!
Deni halifi na Marehemu, hapo kuna Mrithi wa marehemu atakeyerithi pia madeni ya marehemu kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi! Labda amsamehe!
 
Poleni sana japo kwenye kifo cha mpendwa wetu Magufuli mlitucheka sana, Leo kwangu kesho kwako hayo ndio maisha
#TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki, Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
View attachment 2618750
 
Back
Top Bottom