TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Tumefika hapa kwasababu wapo wajuaji waliogoma kusahau yaliyopita, wayaache yaende, wakajiona wamekaa juu wamefika, wao kila siku ikawa ni kumuimba marehemu mtangulizi, wakajisahau wakidhani kifo kina undugu au urafiki, leo kifo kimewakumbusha hakina mwenyewe, sote tunapita.

Sio wakati wa kulaumiana tena, maisha ni fumbo, tujifunze kuyaacha yaliyopita yapite, lakini sio kujisahau na kujipachika majina ya ajabu kama wazuri hawafi au Mungu fundi, leo majina hayo hayo yanarudishwa upande wa pili, ni vyema wahusika wayapokee kama walivyoanza kuwapa wenzao, time to feel a test of your own medicine.
Ongezaaa sautiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.

Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.

Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.

Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Hakuna cha maridhiano we mwenyewe Kwa unafiki mkubwa mliitukana maiti ya Maghufuli na Kejeli za kila Aina , hv Vifo vya watu wenu ndo mtajua chuki waliyo nayo wananchi Kwa hao watu wenu , uzuri hata wale waliobaki wapo kwenye closing age akiwemo na mwenyekiti wako Mbowe , twendeni hv hv
 
Hiki kifo kimegubikwa na utata. Kuna uwezekano ni hujuma! Mazingira yanatia shaka
BBEB0FA6-FFBB-4968-81EB-0B17BA23E255.jpeg
 
Wazuri hawafi
Hii kauli Mzee Marope itamcost sana. Ningekuwa yeye ningejitokeza tu hadharani na kuomba msamaha yakaisha. Mzee Pinda mbona alijitokeza hadharani akaomba msamaha kwa ile kauli yake ya wapigwe tu?

Asipofanya hivyo yeye na wazuri wenzie siku wakifa wasije kushangaa watu wakafanya sherehe kabisa!
 
Back
Top Bottom