My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Sijui hii kitu watu watajua lin au nikujitoa akili tu,sasa km Mungu anahusika kwny hiv vifo vya kina Membe?! Vip kuhusu wagonjwa wanaokufa kila siku?! Vip wanaokufa vitani uko?!!Kufa ni kufa tu death is a necessary end. Ugombane usigombane ushangilie usidhangilie unune usinune death will come when it will.
Wazee,msipende kushabikia vifo vya watu wengne,wala kujihesabia haki kwakua mko hai..
Huu ni ujinga na ukosaji wa maarifa kujua kifo kinamuhusu kila mtu