Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwamba sisi hatujui lugha ya kiswahili hadi wewe ututafsirie jinsi upendavyo wewe. Yule shwaini ipo siku yake nae atakata moto na ntaagiza bapa kubwa na tonic baridiMaana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.
Sukuma gang hamkumuelewa Mzee Makamba au ni sababu ya chuki na nongwa tu?
Mbona ni msemo wa kawaida miongoni mwa wasomi na werevu?
Kwamba watu wema hawafi maana yake “ wanakuwa kama vile wamelala tu sababu matendo yao mema yanabaki kuishi”
Ni msemo wa kawaida miongoni mwa jamii ya waelewa.
Na unahamasisha watu kutenda mema ili wakifa yale matendo yao mema yatakuwa yakienziwa kana kwamba wapo hai.
Asomaye na afahamu.