Usijifiche kichwa chini, kiwili wili juu utakua kichekesho.. nyie mnajiita wapinzani mliungana na wahuni wachache wa CCM kushukuru mungu kuingilia kati kifo cha JPM. Mlisahau kaburini ni kwa kila mtu... Mbowe, lissu, zitto, nape na makamba sr. ... pamoja na chawa zao ukiwepo mliongea sana...
Sasa namba zitaitwa mmoja baada ya mwingine.... dhihaka mlioifanya iliwaliza watu, machozi ya watu hayataenda bure... kilichotokea ni kdg sana.. bado Godfather wao anasubiriwa.. hawa chawa wengine hawana nguvu kama yule Godfather akiondoka... na hapo nchi itatulia sana.