TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Screenshot_20230513-134635.jpg
 
Nani kapigwa kitu kizito, Mimi ni Anti-JPM ila sipo CCM Sasa hayo ya Membe yananiumaje Mimi? Unless ingekua Mbowe au Lissu ndio ningeumia.
Usijifiche kichwa chini, kiwili wili juu utakua kichekesho.. nyie mnajiita wapinzani mliungana na wahuni wachache wa CCM kushukuru mungu kuingilia kati kifo cha JPM. Mlisahau kaburini ni kwa kila mtu... Mbowe, lissu, zitto, nape na makamba sr. ... pamoja na chawa zao ukiwepo mliongea sana...

Sasa namba zitaitwa mmoja baada ya mwingine.... dhihaka mlioifanya iliwaliza watu, machozi ya watu hayataenda bure... kilichotokea ni kdg sana.. bado Godfather wao anasubiriwa.. hawa chawa wengine hawana nguvu kama yule Godfather akiondoka... na hapo nchi itatulia sana.
 
Tuliungana? Nitolee upuuzi wenu hapa, wapinzani tumemkosoa JPM tokea akiwa hai Sasa kivipi tukimkosoa akiwa amekufa tuonekane "tumeungana"?

Msituingize kwenye vurugu zenu huko afe Membe au JK au January hao wote ni CCM Sasa Chadema tuna hasara Gani au tunaingiaje humo? Mnachekesha sana nyie sukuma gang.

Mnalazimisha kwamba Kila anayemchukia JPM basi kaumia na msiba wa Membe? Hivi si ni Chadema sisi tulimkataa Membe kwa kusema ni kibaraka wa CCM Cha kushangaza Leo kafa eti mnatupa pole??

Mnatia huruma sana Sukuma gang, ila hata mshangilie kifo cha nani Ile knockout ya JPM Haina simile maana alidondoka akiwa kwenye peak
 
Msiba wa MEMBE umesadifu mpasuko na chuki alizoziotesha magufuli.....

Magufuli alikuta taifa linaloahikamana, ameacha taifa lililogawanyika ....
Magufuli ndio alimuua Dr mvungi? Magufuli ndio alimpiga bomu mwangosi? Tuseme ya akina Dr ulimboka?

Kuna chawa na Godfather wao walieneza propaganda mitandaoni kumuhujumu dr magufuli... umesahau ya akina kigogo? Walipodhihaki hata mwili wa marehemu magufuli zile hazikua chuki?

Machozi ya wananchi bado hayajafutika, yupo kigogo anasubiriwa kwa hamu alambe mchanga, hawa chawa wadogo wadogo akina nape hawasumbui bila yule. Nchi itapona tu...
 
Back
Top Bottom