Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Sikiliza Akilinjema ndiyo maana sehemu nyingi Tanzania,Afrika masharika,Afrika na hata ulimwenguni ukiitwa "mswahili" basi umetukanwa sana Ubatizo wa moto ni tabia za kejeli Waswahili kwa ajili ya kulinda maslahi yao.
Kiukweli mzee Makamba anatakiwa abaki kuwa ndugu msikilizaji na ndugu msomaji tu basi, aondokane na kuwa ndugu msemaji maana akisema anajikuta anaharibu kwa kutafsiriwa ndivyo sivyo sometimes.
Hivi inakuwaje wanampaga nafasi ya kuongea?
Okey inawezekana akaongea kama mwananchi wa kawaida well ni haki yake lakini sasa naona sababu ya umri kusogea anajikuta akiongea anakwaza kundi fulani Kwa namna fulani.
Basi Naomba mlioko karibu naye mshaurini abaki kuwa msikilizaji Na mtazamaji tu.