Tuliungana? Nitolee upuuzi wenu hapa, wapinzani tumemkosoa JPM tokea akiwa hai Sasa kivipi tukimkosoa akiwa amekufa tuonekane "tumeungana"?
Msituingize kwenye vurugu zenu huko afe Membe au JK au January hao wote ni CCM Sasa Chadema tuna hasara Gani au tunaingiaje humo? Mnachekesha sana nyie sukuma gang.
Mnalazimisha kwamba Kila anayemchukia JPM basi kaumia na msiba wa Membe? Hivi si ni Chadema sisi tulimkataa Membe kwa kusema ni kibaraka wa CCM Cha kushangaza Leo kafa eti mnatupa pole??
Mnatia huruma sana Sukuma gang, ila hata mshangilie kifo cha nani Ile knockout ya JPM Haina simile maana alidondoka akiwa kwenye peak