Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Chato ni Kijiji? Hizi mambo huwa anawakremisha nani?
Chato ni wilaya kama zilivyo wilaya zingine, itigi, iramba, kasulu, kibondo, uvinza, kaliua n.k
Alafu hukk chato nahisi wengi hamjafika, hakuna miradi ya maana kihivyo kama.inavyosema, kwangu Cha ajabu nilichokiona ni ule uwanja. Siku ukienda unaweza kushangaa story unazosikia

Alafu hii mambo ya kusema alitaka kujiongezea muda ni hadithi tu, juma nkamia na ally kessy hawakurudi bungeni 2020. Kama tuliamini alitumia nguvu kuweka wabunge basi hata hao waliokuwa wanampigia kampeni bungeni aongeze muda angetumia nguvu kuwaweka kwenye ubunge.

Unajua wengi wanaomponda Magufuli huwa wanatumia uongo, ikiwa Kuna ya Ukweli ambayo wangeweza kuyatumia.
 
Wengi hata hawajui uhalisia. Kama issue ya chato, wanapaita chato Kijiji, wakati chato ni wilaya ya miaka mingi tu. Ni wilaya Kama zilivyo zingine newala, kibondo, uvinza, ngara, bukombe, ushetu n.k
Hakuna jipya lolote kama watu wanavyosema.
 
Nilishawaambieni huyu jamaa msimpuuze.
Kanajifanya kana mwandiko mbayaaa kumbe lidude likuubwa nyuma ya keyboard.
 
@Bilionea Asigwa
 
Shida ulimezwa na Propaganda kuona kila kitu kinafanyika chato na si kwingine. Kijijini kwetu hakukua na barabara, ni wakati wa Magufuli ikajengwa. Inashangaza wazee porojo kupiga kelele za chato kila wakati. Hivi Kasi ya Dodoma kujengwa hukuiona?Au shida ni kwanini anajenga na kwao?
 
Vipi kijijini chenu pia harakati za kuwa mkoa zilikwepo? vipi na uwanja wa ndege mmejengewa?
 
Ndio maana nasema wewe huwezi kupata hasara, tatizo ni Watoto wako na pengine watu wa karibu yako

Wasted sperm
My kids are ven better and smarter than you, na wanasoma shule za gharama kuliko hata kipato chako cha mwaka

stop being bitter kwa mambo ya mitandaoni, utapasuka, humu kuna watu wenye pesa zao, wenye maisha yao, wenye akili zao nyingi tu na nafasi kubwa, ukijiona smart sana eti kisa unamtetea JPM unajidanganya sana
 
Saikolojia haidanganyi, wenye maisha ya hayo ulijimwambafai hapo juu hawasemagi na kujisifia hivo.
Trust me upo very broke Mkuu..[emoji1][emoji23][emoji23]
 
Saikolojia haidanganyi, wenye maisha ya hayo ulijimwambafai hapo juu hawasemagi na kujisifia hivo.
Trust me upo very broke Mkuu..[emoji1][emoji23][emoji23]
A broke person is someone who thinks everybody is broke.

Enjoy your day, a piece of advice, jaribu kuwa positive hata pale watu wanapokua na opinions tofauti na kile unachokiamini, heshimu mawazo ya watu badala ya kuanza kuattack watu pale wanapotoa maoni ambayo hayakufurahishi

ULianza kuni attack kwa kusema kwamba watoto wangu wana hasara simply because my opinions isn't what you wanted to hear.
 
Naomba kuuliza hivi mali za musiba zilishapigwa mnada na kampuni ya YONO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…