Naona Kuna ukusini na usukumani. Muende taratibu msije mkatuletea mambo ya watusi na wahutuHuu uzi unazidi kuwachafu watu ya kanda yq ziwa, unafanya wasukuma waonekane ni waty wabaya kuahi kutokea hapa Tanzania kwa ukatili wao na matendo yao ya uuwaji, utekaji na uonevu wakiongozwa na shujaa mwendazake
Itafika mahali hizi chuki zitawajaa watanzania na wasukuma watakua kwenye hali ngumu sana