Huyo jamaa anacheza mind games, uzi wenye maudhui kama haya uliletwa asubuhi hapa jukwaani kwa lugha ya kiswahili, kisha ukaondolewa. Naona huyu kauleta kwa lugha ya kiingereza, lakini wote wanaoleta uzi wenye maudhui haya ni wanaccm. Bila kujali ni ukweli au uongo. Tunawakanya viongozi wa cdm kutokurudia kosa la Lowassa, kwa utetezi wa aina yoyote ile. Lisu ndio chaguo letu, na iwapo atawekwa jela, ni bora hata tumpigie kura akiwa jela kwa njama za ccm. Tujikite zaidi kudai tume huru ya uchaguzi, kuliko kuokoteza hao wazee wa ccm kwa mtindo ule ule.