Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Ni wabishi na supporter wa kila ujinga wa cdm iwe kweli au uongo na ndio wanaotumika kusambaza upumbavu humu jf bila hata ya kupima ukweli. Ni kama wale wa ccm tu. Wanatakiwa kujifunza kufikiri kwa akili zao lakini wapiiiiii. Juu wametoa zao wameweka za Lema na Lisu zoa wameweka matakoni. Chama kina yumba sababu ya qatu kama hawa. Kulikuwa na sababu gani kumuingiza lowasa na watu wake kipindi kile? Leo wapo wapi.? wametutoa sisi waona mbali.Mkuu moja ya vitu anavyojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi aina ya Salary slip
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Tuombe Mungu hili suala lisiwe la kweli. Kama ni kweli, naona mwisho wacdm baada ya uchaguzi, kitakuwa kama tadea tu.