Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Siamini kama CHADEMA hii itafanya tena kosa la kuleta MAOTEA ya CCM (au matawi yake) awe Membe au mwingine yeyote.
TUMESHAMALIZA kukisafisha chama kwa gharama kubwa sana, kwa kweli sitegemei kabisa tuletewe tena utani wa kukichafua.
Ikitokea sitaunga mkono ujinga huo. Amen.
Chaguo ni Tundu lisu lakini kazi ni vipi Tundu lisu atapenya kwenye mitego ya Naibu Rais Bashite na kikundi chake.
 
Mzee wewe upo sayari ipi? au upo mwenzini haupo Duniani? Kama upo Duniani iweje umejitoa fahamu kiasi hicho?

Mbona bado niko sober sjaianza ile chupa yenye faru John hatimiliki ya mh.mwenykt.....
Hujanijibu nilichokuuliza...😂😂
 
Kuing'oa CCM madarakani mwaka huu, na sio mwaka mwingine, ni hitaji la kila mtazania mwenye akili timamu na anayeishi kwa kujitegemea mwenyewe, na si kwa kurushiwa makombo na CCM. Ndani na nje ya CCM kuna hitaji kubwa la kukiondoa CCM madarakani ifikapo Oktoba 2020 kupitia sanduku la kura. yapo mazingira yanayomtofautisha Membe na Lowasa, ingawa inaweza kuwa vigumu kueleweka kwa wengi. Lakini, ilmradi waliodhamiria kukiondoa madarakani CCM mwaka huu ni pamoja na wanaCCM wenyewe, hata kama atakuwa Membe potelea pote ilimradi mpango ni kuking'oa chama katili na wakatili wake!
Ninakubaliana na wewe katika hiyo hoja ya fursa ya kipekee iliyojitokeza safari hii ya kuiondoa CCM madarakani.

Itakuwa ni udhaifu tu wa vyama vya upinzani ikishindikana kuiondoa mara hii.
 
Chadema party decision Makers doesn't want a poor candidate like Tundu Lisu for the presidential post!! Take it or leave it

Chadema was started by Rich people not poor people like Lisu

Lisu in chadema he is just a parasite ,consumer of Chadema money not producer or provider!! Ask how much he has contributed to Chadema financially and how much he has consumed!!!

Tundu Lisu is a liability to the party he has consumed more than what he has contributed !!!
Pole BOY. Lissu only
 
Ninakubaliana na wewe katika hiyo hoja ya fursa ya kipekee iliyojitokeza safari hii ya kuiondoa CCM madarakani.

Itakuwa ni udhaifu tu wa vyama vya upinzani ikishindikana kuiondoa mara hii.
Peni bwana,Chadema waliingia makubaliano na wenzao ktka vpngl hv;
1.WAACHIANE MAJIMBO

Wakakaidi majimbo mengi tu....

2.WAGAWANE RUZUKU ITAKAYOPATIKANA KWA SABABU YA IDADI YA WABUNGE BUNGENI KWA HUYO MGOMBEA MMOJA LOWASSA

Wakawachinjia wenzao baharini bila kuwagawia hta Senti 5.

SIUONI MUUNGANO WA VYAMA VIKUU VYA UPINZANI NA CHADEMA labda mh.Mbowe ajiunge na mwanasheria HASHIM RUNGWE,ADC na Yule mzaramo mvaa bereti nyekundu😂😂🤣🤣
 
Chaguo ni Tundu lisu lakini kazi ni vipi Tundu lisu atapenya kwenye mitego ya Naibu Rais Bashite na kikundi chake.
Kazi yetu ni kupambana na huu ukandamizaji.Tusiukwepe. Ni Lissu tu.
 
Watetezi wa CCM wapo gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wanavuta Bangi kisha kukariri ujinga wao kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, tizama utetezi wao wote unafanana kwa kuwa walimu wao ni vilaza watupu, wale CCM wachache wanaojitambua wamegoma kwenda kukariri ujinga Huko
Alafu wewe inaonekana unampenda sana Musiba na Le Mutuz

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Dereva wake hawezi kuja baada ya chadema kugundua akina cyprian Musiba walipeleka Bajeti kwa Naibu Rais wapewe bilion moja wampe Dereva wa lisu milion 500 amsariti Lisu wajipe milion 400 cha juu wapate kutengeneza propaganda kibao juu ya mbowe na kuichafua chadema, hakuna mwanachama wa chadema hajui njama hizo na wanajua chadema imekuwa mtaji wa madalali wa siasa huko CCM, kila dalali wa siasa hutumia chadema kama kisingizio kula pesa za CCM:
Mpishi huyu bwana unakoroga tu propaganda....angalia mbona SUFURIA imetoboka lakini...
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Kuna wanaume na watoto wa kiume, na kuna watoto wakiume wenye tabia za kike au usenge ndani yake. Ni mara kadhaa wewe na genge lako umekuwa mtetezi wa ujinga unao endelea ndani ya cdm. Leo unajifanya kutoa maoni kama sio mwanacdm. Mwaka 2015 walituharibia chama, wengi tuliamua kutokupenda upinzani na kujiweka pembeni na siasa. Hatupendi yanayofanywa na ccm ila hatuoni mpinzani wa kweli mwenye kusimamia sera zake.
Wewe ni cdm lialia, mlimsapoti lowasa na kuona babu slaa chizi, mliwakumbatia na kuwatetea mafisadi. Baada ya kurudi kwao, mkaanza kuwatukana tena. Wengi wa wafuasi wa cdm ni watoto wa kiume wenye tabia za kike au usenge, ni wepesi sana kubadirika kama ulivyo wewe.
Hii ni karma, mjifunze kutunza maneno.
Kwa kuwa ni tetesi, tuchukulie kuwa uongo ili mbaki kuwa kwenye utoto wa kiume labda mtaingia kwenye sifa zetu za uanaume.
Mnabore sana nyinyi na ndio mnaosababisha cdm inachukiwa, coz mnasapoti kila ujinga na kupinga hata yale mema madogo. Ni wepesi wa kusahau shukran.
 
Waafrica na hasa Watanzania tunashida na tuahitaji msaada

Tunahitaji ukombozi na ukombozi tunaouhitaji sio wa kubadirisha Chama, hiyo haitatusaidia, ukombozi wetu ni akiri ya kuona mbali na kukingojea hicho cha mbali licha ya kwamba kabla ya kukifikia kile cha mbali hapa katikati tunaweza kupitia mateso makali, lakini tu tukipate kile cha thamani kiletacho ukombozi wetu kamili

Mkuu, inaonyesha umesahau tena, 2015 tuliimba nyimbo hizihizi, kwamba hata kule CCM watakuwa wamekichoka Chama Chao, tutamweka Lowasa ilimradi Tu, tunawatoa CCM

Tukaingia ulingoni tukiwa na turufu hiyo ya watu lundo kutoka CCM, lakini kilichotokea kila mtu ni shahidi

Leo tena unakuja na ngonjera ileile? Hivi mmelogwa? Unamsema Membe, ambaye hata ule umarufu wake haufikii hata robo ya Lowasa?

Membe, hafikii hata umarufu wa Lisu?

Tukijua kwamba kuchukua Dola ni mipango na shabaha mathubuti?

Yesu, Baada ya kufanya huduma yake Kwa muda, aliwauliza wanafunzi wake kuwa, hivi! Watu wananisemaje huko mitaani? Aliuliza hivyo ili kutathimini namna gani jamii inamchukulia,

Inawezekana hata hiyo tathimini nyie hamfanyii kazi mnajiendea Tu kama nyumbu

Membe ni Nani?? Membe mbele ya upepo mkali wa JPM, Mtajiona kama mapanzi mbele ya jabali JPM
Facts👈👈👈👏👏👏
 
CHADEMA si wajinga wasioweza kujifunza kwa makosa. Huu ni ujumbe wa wanaccm kupima upepo ndani ya CHADEMA. Huko kunaogopwa. Pamoja na kubanwa na utawala wa zama hizi lakini bado ni tishio!
 
Huyo jamaa anacheza mind games, uzi wenye maudhui kama haya uliletwa asubuhi hapa jukwaani kwa lugha ya kiswahili, kisha ukaondolewa. Naona huyu kauleta kwa lugha ya kiingereza, lakini wote wanaoleta uzi wenye maudhui haya ni wanaccm. Bila kujali ni ukweli au uongo. Tunawakanya viongozi wa cdm kutokurudia kosa la Lowassa, kwa utetezi wa aina yoyote ile. Lisu ndio chaguo letu, na iwapo atawekwa jela, ni bora hata tumpigie kura akiwa jela kwa njama za ccm. Tujikite zaidi kudai tume huru ya uchaguzi, kuliko kuokoteza hao wazee wa ccm kwa mtindo ule ule.
Kumbuka ccm inaungwa mkono wa watu wasiojua kusoma, mbumbu, wajinga, wapiga makofi na wanaosapoti kila ujinga wa miaka zaidi ya 50. So sidhani kama wanaweza kuandika kiingereza 😎😎😎🤣🤣🤣.
Hili bandiko litakuwa la wanacdm wenye mashaka na wasiopenda membe aje ili kuficha aibu ya mwaka 2015.
Hili ni bandiko la CDM kwa 100% coz ndio wasomi pekee hapa nchini.
 
Habari ya kutunga tu, ukaona utumie kiingereza ili kuipa uzito but unajidanganya, hakuna wakumdanganya hapa.

Tuambie hicho kikao kilifanyika lini na wapi na wakina nani waliohudhuria?

Hivyo viingereza vyenu vya sources close to.... go with it to hell.
Wait and see!!
 
Kumbuka ccm inaungwa mkono wa watu wasiojua kusoma, mbumbu, wajinga, wapiga makofi na wanaosapoti kila ujinga wa miaka zaidi ya 50. So sidhani kama wanaweza kuandika kiingereza 😎😎😎🤣🤣🤣.
Hili bandiko litakuwa la wanacdm wenye mashaka na wasiopenda membe aje ili kuficha aibu ya mwaka 2015.
Hili ni bandiko la CDM kwa 100% coz ndio wasomi pekee hapa nchini.
Kwi kwi kwi eti sisi CCM hatujasoma...eti sisi CCM hatujui KIINGEREZA😂😂

Si bure we hauko sober...
Si bure utakuwa ushafakamia ile kitu pendwa bwana faru John hatimiliki yake mh.CHAIRMAN....
 
Chadema imezidiwa sana .na inaweza zimika kabisa wala wasipate hata jimbo moja kutokana na nguvu ya JPM.so kupanga ni kuchagua.akiwekwa membe anayejua mbinu zote chafu anaweza saidia kurudisha taswira mpya ya CDm.hata kama hatashinda lakini atausha chama

Honestly speaking,Cdm imeanza kupoteza uaminifu hasa na makando kando ya mwenyekiti kuhusu matumizi mabaya ya ofice na ufisadi alioshutuniwa nao na bila ya kukanusha kwa data.

Naiona ACT na NCCR mageuzi zikirudi kw kasi.waendelee kuwaita NCCR wanatumika na chama tawala.lakini ndiyo watakaoingiza viti vingi na hatimayo ruzuku ya kutosha.Chama ni fedha.kama huna fedha huwezi endesha chama.

Kupanga ni kuchagua,waendelee kurumbana, Membe atageukia Act au NCCR lakini siyo CUF.chama kitakachomsimamisha Membe kitapaishwa.Ingawaji Membe hatashinda Uraisi.Wala Lisu hata shinda pia.
 
Back
Top Bottom