Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Watadeki tu barabara na kuzungusha mikono. Hamna cha kuhama wala nini. Chezea Mbowe weye.Au waende ccm wajiunge na wanaomwabudu binadamu mwenzao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watadeki tu barabara na kuzungusha mikono. Hamna cha kuhama wala nini. Chezea Mbowe weye.Au waende ccm wajiunge na wanaomwabudu binadamu mwenzao
Ukiwa upinzani na unavunja sheria unakuwa na IMMUNITY EEE?!!Wewe ndiyo zwazwa hizo kesi wanazobambikiwa wapinzani hufanywa kwa idd Amin dada?
Nikuulize hv toka uzaliwe umeshawah kumwona katibu mkuu wa CCM anavyofanana na MISINGI YA CCM km Dr Bashiru Ally?!!!Waitara hapati ubunge Tarime, hata kama atasaidiwa na polisi wote wa mkoa wa Mara! Hicho mnachosema ni uoga tu. Ni hivi kwenye uchaguzi mkuu polisi na wakurugenzi hawana ubavu wa kupindua matokeo katika maeneo ambayo wananchi wanajitambua. Muulizeni Sirro pale Mwanza wakati wa kumtangaza Wenje, au Ubungo kwa Mnyika wakati ule. Mchezo
Angali ulivyo mpuuzi sasa, hii CCM ya awamu ya Tano ina wanaCCM walioiva itikadi au wasubiri makombo? Wewe ndiye huelewi chochote,mwaka utashuhudia usiyoyatarajia...wenye mbwa tayari wanafahamu hili!
Mkuu unaonaje kama wakiwaeka B,Membe na T.Lissu kama partners?Tutapata Kura za sympathisers and kura za anti CCM.Tunajua kuwa Membe anao uwezo wa kugawa opinions ndani ya CCM na Lissu anao uwezo wa kugawa opinions nje ya CCM.Wakikaa pamoja watafikisha ujumbe kamili.Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Kwa Kiingereza fasaha ungesemaje kwa mfano? Tumia tu Kiswahili, achana na aibu hii.Tundu is is not that much popular inside party inner circles!!!
He is only supported by internet keyboard warriors who are nobody's in Chadema politics and decision making!!
Anyway what you are trying to portray is you want to show that Tundu Lisu is a presidential material inside Chadema but you are wrong
If Lisu was a presidential material he could have got support from all Central committee members but they have decided to take presidential nomination form to challenge him openly!!
Mbowe , Nyalandu and Msigwa all are Central committee members who know what is what inside Chadema bedroom that is why they have come out to challenge Tundu Lisu.A thing that is an open signal that inside things are not as they are potrayed outside!!!
Tundu is trying to paint a faint fake picture in social networks that he is the Chadema choice!!! But the truth he is not
Tundu Lisu is operating in the airwaves where there are not decision makers while his fellows operate on the ground where there are decision makers and rub shoulders with them and drink coffee with them
Kusingekuwa na Udikiteta wa Naibu Rais na mtukufu lazima Tundu lisu angesimama hapo unaposema lakini kwa hali ilivyokuwa sasa ni vigumu Tundu lisu kufanya kampeni kwani CCM wamemuandalia mitego mingi ya kumtokomeza kisiasa kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni msiri na mashauri mkuu wa Naibu Rais ndugu Daudi BashiteMkuu unaonaje kama wakiwaeka B,Membe na T.Lissu kama partners?Tutapata Kura za sympathisers and kura za anti CCM.Tunajua kuwa Membe anao uwezo wa kugawa opinions ndani ya CCM na Lissu anao uwezo wa kugawa opinions nje ya CCM.Wakikaa pamoja watafikisha ujumbe kamili.
Kumbe wakati mwingine unawekaga ushabiki pembeni mbali kabisa, maono yako yako poa kabisaKama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
CCM huwa wanafiri kuwa kuongea au kuandika kingereza ni Usomi wamesahau kuwa wapo wazungu wazaliwa wa London Scotland Ireland hawajaenda shule lakini wanaongea na kuandika kingereza kizuri kiliko cha mwana CCM yeyote, hata mwenyekiti wa CCM Taifa hapendi kingereza ndiyo maana anamuhimiza Mwakyembe akieneze Kiswahili Duniani kote.Kwa Kiingereza fasaha ungesemaje kwa mfano? Tumia tu Kiswahili, achana na aibu hii.
Hahaha unamzungumzia Lissuu Huyu ambaye anasubiriwa kwa hamu na polisi awekwe ndani yeye na dereva wakeNi kweli kabisa
Hiyo nafasi anastahili mpinzani mmoja tuu, naye si mwingine ni Shujaa Tundu Lissu, ili apambane na huyu Jiwe ambaye, utawala wake tumeshuhudia akitumia vyombo vya dola vibaya kwa kuuminya upinzani ili usifurukute
Lijuakali ni muhuni alivaa mask wakamshambulia mbowe usiku na kutokomea majumbani mwao maana wangekuwa wageni walinzi wangewajua wangewaona getini, Lijuakali kapewa mgoa wa bilion 12 toka kwa Ndungai kajitoa fahamu zote anaipakazia chadema chochote anachokiona kitawapendeza CCM wanaomtuma, wapinzani hawavunji Sheria bali CCM ndiyo wamevunja Sheria na katiba kuzuia mikutano ya siasa ambayo ni haki yao kikatiba.Ukiwa upinzani na unavunja sheria unakuwa na IMMUNITY EEE?!!
LIJUALIKALI kakiri alikuwa anavunja sheria Mara nyingi ndo Mana yalimkuta....wee NI wa kile chama Cha matukio CDM?!! HAMNA TOFAUT NA WALE WAANDAMANAJI WA MAREKANI WANAOHARIBU MIUNDOMBINU kwa kisingizio cha marhm Floyd...kalaghabaho
Dereva wake hawezi kuja baada ya chadema kugundua akina cyprian Musiba walipeleka Bajeti kwa Naibu Rais wapewe bilion moja wampe Dereva wa lisu milion 500 amsariti Lisu wajipe milion 400 cha juu wapate kutengeneza propaganda kibao juu ya mbowe na kuichafua chadema, hakuna mwanachama wa chadema hajui njama hizo na wanajua chadema imekuwa mtaji wa madalali wa siasa huko CCM, kila dalali wa siasa hutumia chadema kama kisingizio kula pesa za CCM:Hahaha unamzungumzia Lissuu Huyu ambaye anasubiriwa kwa hamu na polisi awekwe ndani yeye na dereva wake
Mzee wewe upo sayari ipi? au upo mwenzini haupo Duniani? Kama upo Duniani iweje umejitoa fahamu kiasi hicho?Chadema yupi kapigwa risasi na kudhoofishwa na CCM ama polisi?!!!! Hzo uzungumzazo ni paukwa pakawa EEE?!!
Siamini kama CHADEMA hii itafanya tena kosa la kuleta MAOTEA ya CCM (au matawi yake) awe Membe au mwingine yeyote.Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Waafrica na hasa Watanzania tunashida na tuahitaji msaadaKuing'oa CCM madarakani mwaka huu, na sio mwaka mwingine, ni hitaji la kila mtazania mwenye akili timamu na anayeishi kwa kujitegemea mwenyewe, na si kwa kurushiwa makombo na CCM. Ndani na nje ya CCM kuna hitaji kubwa la kukiondoa CCM madarakani ifikapo Oktoba 2020 kupitia sanduku la kura. yapo mazingira yanayomtofautisha Membe na Lowasa, ingawa inaweza kuwa vigumu kueleweka kwa wengi. Lakini, ilmradi waliodhamiria kukiondoa madarakani CCM mwaka huu ni pamoja na wanaCCM wenyewe, hata kama atakuwa Membe potelea pote ilimradi mpango ni kuking'oa chama katili na wakatili wake!
Hzo nyumba za wabunge usemazo Wala hakuna huo ulinzi tight unaousema......wadau wengne wanipinge kwa hili....Lijuakali ni muhuni alivaa mask wakamshambulia mbowe usiku na kutokomea majumbani mwao maana wangekuwa wageni walinzi wangewajua wangewaona getini, Lijuakali kapewa mgoa wa bilion 12 toka kwa Ndungai kajitoa fahamu zote anaipakazia chadema chochote anachokiona kitawapendeza CCM wanaomtuma, wapinzani hawavunji Sheria bali CCM ndiyo wamevunja Sheria na katiba kuzuia mikutano ya siasa ambayo ni haki yao kikatiba.
Kumbe yale yakikuwa makosa? Mbona tuliwaambia mkatokwa na mapovu?Mkuu FAKE NEWS. Mbowe hawezi kurudia makosa makubwa ya 2015.
Tafadhali nenda ukawashauri TLP, UDP, NCCR au CUF.Chadema ikimchukua membe itanufaika na Kugawa kura za CCM.
Membe ataipa Chadema kura na majimbo ya kusini .Ikumbukwe Membe anasikilizwa Linda na Mtwara Chadema haina nguvu sana huko.
Membe hana kesi ama tuhuma nyingi kama Lisu .Lisu .
Lisu ataogopwa kwa maana ya visasi.
Membe ana umri safi kuliko Lisu ametulia.