Membe akiweza kuelezea haya vizuri nina hakika hata uchakachuaji wizi wa kura wakurugenziccm kutangaza washindi feki wataogopa, membe akijikita vizuri kuelezea mabaya ya CCM pasipo uoga nina imani ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania, moja adai trilion 1.5 ambayo ilipelekea CAG kutolewa kafara, adai bilion 12 alizotafuna Ndungai peke yake, adai kibali cha kujenga Chato Airport adai idhini ya ununuzi wa Ndege. Ufanyike uchunguzi wa miradi yote mikubwa iliyofanyika kipindi hiki cha mtukufu na Naibu Rais, adai pesa cash, faini za mahakamaccm, madini yote vilivyokamatwa mipakani Bandarini Airport na kwingineko kote, adai vyote vyenye ufisadi ili watanzania watambue kuwa CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna malaika CCM wote ni wale wale kama wa zamani ingawa hawa wa sasa wanauma na kupuliza kidogo.