Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Guys!
i urge you all to take a collective chill pill and put trust in your honorable chairperson as you did in 2015. Everything will turn out great..
 
Halafu huyu Lissu Wala sio tishio kwa CCM na wanachama wake....
Lissu hafanani na Slaa....

Hana kaliba ya Dr Slaa japo ana kipaji Cha kujenga hoja za "kisheria"....

KISIASA hawezi kuteka HISIA za watanzania wa Hali ya chini km magufuli.....
Ninamuona Lissu jinsi atakavyokuwa anatumia PROFESSIONAL JARGONS majukwaani....huku AKITAKA PSYCHOLOGICAL SYMPATHY....

Ninamuona Magufuli akiziteka hisia za WANYONGE,walalahoi,hohehahe wa nchi hii kwa kutumia LUGHA NYEPESI NA DIRECT isiyotaka tochi kuipembua....
Tulieni dawa iwaingie. Lissu anakuja na ndo raisi wako coming October 2020
 
Huyo jamaa anacheza mind games, uzi wenye maudhui kama haya uliletwa asubuhi hapa jukwaani kwa lugha ya kiswahili, kisha ukaondolewa. Naona huyu kauleta kwa lugha ya kiingereza, lakini wote wanaoleta uzi wenye maudhui haya ni wanaccm. Bila kujali ni ukweli au uongo. Tunawakanya viongozi wa cdm kutokurudia kosa la Lowassa, kwa utetezi wa aina yoyote ile. Lisu ndio chaguo letu, na iwapo atawekwa jela, ni bora hata tumpigie kura akiwa jela kwa njama za ccm. Tujikite zaidi kudai tume huru ya uchaguzi, kuliko kuokoteza hao wazee wa ccm kwa mtindo ule ule.
Hilo ndo halitakiwi. Lisu kugombea
 
Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion.

The event followed by former Membe (former CCM cadre) who recently returned his Membership Card of the very powerful and influential party in Africa as its roots originate from back to Freedom fighting era.

Sources close to both parties told that CDM want to deploy Bernard Membe due to his popularity as makeshift towards resurrection of the party due to recently internal crisis. The same strategy used 2015 Election to maximize the number of parliamentary seats has been backed by member of the floor, as they face a very stiff competition from President Magufuli who is admired by many in the world.

According to reports CHADEMA Senior figures have made clear that the odds of becoming presidential candidate are against Tundu Lissu and he is too predictable to use 2017 gunshot as @2020Election main strategy to seek public sympathy.

Until late night the members were yet to agree to line up Bernard Membe in 2020 Election due to large divided opinions as many feared not to repeat 2015 blunder Some told Mr. Membe to wait until 2025 but it has been seen so far Membe wont abide any delays.

The meeting Chaired by most influential man in the Party Mr. Freeman Mbowe who has been publicly criticized by outsourcing Former Prime Minister in 2015 Election.

Troll JF

Fake news!
 
Guys!
i urge you all to take a collective chill pill and put trust in your honorable chairperson as you did in 2015. Everything will turn out great..
Hello Lumumba ID. Kwa taarifa yenu msiyempenda kaja. Ni TUNDU ANTIPAS LISSU
 
We jamaa ni kiazi sana, wewe una nguvu gani humu chadema ya kuzungumzia lolote kuhusu jasusi membe??
Membe ni mwanachama wa chadema na ndio mgombea uraisi kupitia chadema, kama hutaki si UHAME?? kwani lazima uwe chadema??
MATAGA naona mnajitungia tungia tu vijistori vyenu. Hicho kigazeti chenu cha "Tanzania Perspective" habari zake tunazo. Ni kijarida cha hovyo tuu.

Chadema tunajua mwaka 2015 tulikosea wapi ingawa faida ilikuwa upande wetu. Hivyo puuzeni uzushi wote unaotolewa na MATAGA.

Membe yupo Rondo huko, Mbowe yupo Dar. Membe hajapewa kadi ya Chadema na mchakato wa uchukuaji fomu za kuomba kuchaguliwa unaendelea. Nyie endeleeni kuota ndoto za mchana.
 
Membe anavunja dirisha muda wowote atakao. Hamna wa kumpinga! Membe for president via chadema
😂😂😂 kweli Lumumba mbamhanya Lissu. Hiyo project yenu ya kumleta Membe upinzani imeshafeli kabla ya kuanza. Watanzania wa sasa tuna akili sana
 
Tulieni dawa iwaingie. Lissu anakuja na ndo raisi wako coming October 2020
DAWA yenyewe ni ile "faru John" hatimiliki ya mh.mwenyekiti?!!!!

Yah atakuwa rais wa wameza DAWA za Mirembe pale wodi ya ACUTE no.14......😂😂😂
 
😂😂😂 kweli Lumumba mbamhanya Lissu. Hiyo project yenu ya kumleta Membe upinzani imeshafeli kabla ya kuanza. Watanzania wa sasa tuna akili sana
Wewe endelea na ushabiki huku jf ila wenye chama wameshamchagua kipenzi chenu cha kuwavusha na kuwapeleka ikulu, si mwingine bali ni jasusi mbobezi na mwanaeiplomasia nguli kama mnavyomuita.
 
Master of Political Science chief , anyway singependa kuzungumzia sana elimu huenda una elimu kubwa lakini si ya siasa.

Nikujuze tu kuwa unatazama mambo kwa elimu yako kubwa nikukumbushe kuyatazama mambo kwa angle ya aliyeishia la pili. Katika siasa tuna people na population. People ndio nyie wasomi wachache .Population ni igmorant majority. Ukiwa kwenye uchaguzi zingatia sana hawa ppn. Ndio maana Membe katika kurudisha kadiri alienda na ppn sio people. Unaweza kuwa na elimu kunizidi km una PhD lakini huna elimu na uzoefu wa siasa wa kutosha

Nina elimu ya kidato cha pili, iliyokatishwa na kupoteza mzazi wa kunilipia ada. Ila nina uelewa mpana wa mambo. Huku kwenye siasa wala sibahatishi, ninaijua ndani nje. Yaani kama ww ndio una masters ya sayansi ya siasa, sijutii kutokuwa intellectual.
 
DAWA yenyewe ni ile "faru John" hatimiliki ya mh.mwenyekiti?!!!!

Yah atakuwa rais wa wameza DAWA za Mirembe pale wodi ya ACUTE no.14......😂😂😂
Jiandae October 2020. Lissu ndo anaapishwa. Ni kama Malawi tu mwaka huu.
 
Lisemwalo lipo!

Ukitaka kujua kinachoendelea, angalia maoni ya wanaCDM ambao wako jikoni hasa wale viherehere kama yako neutral kuhusu ujio wa Membe jua tayari mbobezi yupo ndani.

Rondo na Dar kwa sasa wala siyo mbali labda angekuwa Mars!

Hata picha ya kwanza ya Mamvi akiwa na kamati kuu ya CDM pale Bahari Beach ilipovuja mitandaoni tuliambiwa Photoshop!
 
Wewe endelea na ushabiki huku jf ila wenye chama wameshamchagua kipenzi chenu cha kuwavusha na kuwapeleka ikulu, si mwingine bali ni jasusi mbobezi na mwanaeiplomasia nguli kama mnavyomuita.
Naona mnapiga ramli. Endeleeni tu ila msiyempenda TUNDU ANTIPAS LISSU ndo mgombea wa upinzani mwaka huu. Na nakuhakikishia kwa mlivyoharibu kwenye kilimo, uchumi na wafanyakazi kwa miaka hii mitano jiandaeni kumkabidhi nchi na ikulu.
 
Back
Top Bottom