Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Kulikoni mbona umeongea kwa kukata tamaa sana. Wenye upeo huko mlipaswa kuwa mmeshatoka tangu 2015
 
Chadema ikimchukua membe itanufaika na Kugawa kura za CCM.
Membe ataipa Chadema kura na majimbo ya kusini .Ikumbukwe Membe anasikilizwa Linda na Mtwara Chadema haina nguvu sana huko.
Membe hana kesi ama tuhuma nyingi kama Lisu .Lisu .

Lisu ataogopwa kwa maana ya visasi.

Membe ana umri safi kuliko Lisu ametulia.
Membe hana kura ccm bwana. Zaidi membe anaenda kumalizia pale lowasa alipobakiza
 
Kwahiyo uhalisia wa sasa, ni kuwa wananchi watamnyima kura Lissu kwasababu amepatiwa ulemavu na watawala!?
Nilisikia watu kadhaa nawafahamu wakasema Walijiandaa sana kumpa kura Lowasa ila baada ya kumuona akitembea na kuongea kwa tabu wakampa Magu.

Lisu aje aonekane akitembea hata hatua mia utagundua ni shida kumuuza na CCM wana roho mbaya watamkejeli kwa namna nyingi. Lisu atulie amsapoti Membe . Kusini wana misimamo sana wakiamua uchaguzi utakua mgumu kwa ccm.

Chadema wakimkosa Membe watabakia maeneo machache kaskazini na itakua rahisi kuwabana.Wanaweza wasipate wabumge 5
 
The common fear among oposition members is it could be the tactic of the ruling party to balance the votes in the election!!Membe is still a ccm in his mind and there is no official letter to deny his membership !!!
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?

I hope this is just another story. Kama ni kweli, wanachekesha sana. CDM wanajaza mazungumzo kwenye mitandao and yet hawana chochote cha ku offer. Wanasubiri drop out wa CCM. Kweli wako serious?
 
Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion.

The event followed by former Membe (former CCM cadre) who recently returned his Membership Card of the very powerful and influential party in Africa as its roots originate from back to Freedom fighting era.

Sources close to both parties told that CDM want to deploy Bernard Membe due to his popularity as makeshift towards resurrection of the party due to recently internal crisis. The same strategy used 2015 Election to maximize the number of parliamentary seats has been backed by member of the floor, as they face a very stiff competition from President Magufuli who is admired by many in the world.

According to reports CHADEMA Senior figures have made clear that the odds of becoming presidential candidate are against Tundu Lissu and he is too predictable to use 2017 gunshot as @2020Election main strategy to seek public sympathy.

Until late night the members were yet to agree to line up Bernard Membe in 2020 Election due to large divided opinions as many feared not to repeat 2015 blunder Some told Mr. Membe to wait until 2025 but it has been seen so far Membe wont abide any delays.

The meeting Chaired by most influential man in the Party Mr. Freeman Mbowe who has been publicly criticized by outsourcing Former Prime Minister in 2015 Election.

Troll JF
Lete swahili version mataga waelewe kinachoendelea
 
MATAGA naona mnajitungia tungia tu vijistori vyenu. Hicho kigazeti chenu cha "Tanzania Perspective" habari zake tunazo. Ni kijarida cha hovyo tuu.

Chadema tunajua mwaka 2015 tulikosea wapi ingawa faida ilikuwa upande wetu. Hivyo puuzeni uzushi wote unaotolewa na MATAGA.

Membe yupo Rondo huko, Mbowe yupo Dar. Membe hajapewa kadi ya Chadema na mchakato wa uchukuaji fomu za kuomba kuchaguliwa unaendelea. Nyie endeleeni kuota ndoto za mchana.
 
Na
Wala sizungumzii kupinga maamuzi yake ndani ya chama, hayo anaweza kuyafanya hata nusu saa kutoka sasa. Nazungumzia support yake ni sisi wapiga kura. Kama sisi hatukubaliani na maamuzi yake hana atakalofanya. Angekua ccm wangalau angeweza kutambia mbeleko ya vyombo vya dola. Lakini ukiwa upinzani, nguvu yako halisi ni wafuasi tu.

Nauona mpasuko...wa DHAHIRI shahiri....Membe akikubaliwa tu CDM....
Mh.Lowassa alibadili upepo kwa "kuwalambisha watu MPUNGA"

Yaani mh.Membe akubaliwe tu kiyaheyahe....kwa ASSET ipi anayokuja nayo CDM?!??

Mhhh nahisi harufu ya ANKARA ANKARA ANKARA ANKARA....
"ya jasiri haachi asili..."
 
Chadema Fan ,Bawacha and Bavicha should trust Mr Mbowe on this!

Mbowe knows well how to do this business He has experience!

Good Job Kamanda Mbowe!

Peoples Poweeeeee
 
Kumekucha
Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
 
Wakimteua kuwa mgombea wao watawavunja moyo wengi ambao wamekipigania chama chao kwa kila hali. Uamuzi kama huo utapokelewa vibaya kuliko ilivyokuwa kwa Mheshimiwa Lowassa. Chama makini hakiwezi kukubali kuwekewa masharti na mtu anayehitaji baraka zake ili aweze kugombea nafasi yeyote ya kisiasa katika jamii.

Amandla...

Why your so afraid! Membe is Good leader we should trust our chair man!
 
Yeaa
The common fear among oposition members is it could be the tactic of the ruling party to balance the votes in the election!!Membe is still a ccm in his mind and there is no official letter to deny his membership !!!

He has already admitted writting an official letter to CCM....
 
MATAGA naona mnajitungia tungia tu vijistori vyenu. Hicho kigazeti chenu cha "Tanzania Perspective" habari zake tunazo. Ni kijarida cha hovyo tuu.

Chadema tunajua mwaka 2015 tulikosea wapi ingawa faida ilikuwa upande wetu. Hivyo puuzeni uzushi wote unaotolewa na MATAGA.

Membe yupo Rondo huko, Mbowe yupo Dar. Membe hajapewa kadi ya Chadema na mchakato wa uchukuaji fomu za kuomba kuchaguliwa unaendelea. Nyie endeleeni kuota ndoto za mchana.
Hahahaaaa........ Mkataba umeshafungwa bwashee!

Siasa ni sayansi!
 
Ha ha ha ha yaani maneno yako NDIVYO yatakavyokuwa pale Mbowe atakapokuwa anawaburuza wenzake wamkubali Membe....ANKARA ANKARA ANKARA ANKARA ANKARA
Chadema Fan ,Bawacha and Bavicha should trust Mr Mbowe on this!

Mbowe knows well how to do this business He has experience!

Good Job Kamanda Mbowe!

Peoples Poweeeeee
 
Naunga mkono,Membe akigombea CHADEMA na kuungwa mkono na ACT.
 
Back
Top Bottom