Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Mbowe na Zitto jumu moja....wajanjajanja wa mjini wenye macho makali ktka🍽️🍽️🍽️ alipoibadilisha ile gia angani nikajua si bure...KALAMBISHWA MTONYO MREFU HUYU.CDM kitakufa mikononi mwa DJ mstaafu...
 
Membe couldn't even mount a challenge on January makamba, let alone a gaping margin between him and JPM. What convinces you he can be a force to reckon with this elections relative to Tundu Lissu's political might?

I believe with Lissu, the election campaigns will be explosive as the 2010 era. Membe is too dented and not a threat anymore and lacks a political base.

Membe is not popular in CCM neither opposition, I don't see where he can get his votes from. Let's be realistic here,to CCM; Lissu is more damaging than Membe.

You are absolutely right.
 
Na wewe pumbavu hebu andika Kiswahili huko Kiingereza kimekukataa kama kilivyowafanya Magu ma Mdalichako! Ulishaona wapi plural inaendana na does not?
Utajijua Cha msingi nimeeleweka wewe kaa na tenses zako
 
Katika yote aliyobugi mh.comrade Lowassa ni kujiunga CDM...ona SASA ALIVYOPOTEZA MENGI....kubwa ni kutafuniwa MTONYO wake na "mwenye hatimiliki ya brand yetu pendwa faaaruuuu John"🍾🍾🍾🍷🍷🍸🍸🥃🥃
 
Wachaga kwa biashara haaa, yaani hapo Mbowe kashapiga hesabu zake ngapi ataweka mfukoni from Membe, 2015 ilileta tafrani baada ya Mbowe kuona bil kadhaa from EL, mchaga mate, udenda nje nje nusura chama kipasuke, ilaaaa fedha mwana haramu yakheee wote wakajirudi, na kuambiana huyu ni mwenzetu, wa kaskazini jamani, alafu kaja na kitu kidogo pokeeni, kikubwa Mwenyekiti siri yake.. Haa Mnyika akanuna baadae akacheka, Dr Slaa akakimbia mbioo, fedhaa isikie tu hadi Yesu alisalitiwa sembuse binadamu
Anyway, do ur business as usual, ni haki yenu, nisiwaingilie.[emoji28][emoji28]
Acha chuki na kabila. Au CCM imekua ya wasuku
 
Ni kweli kabisa

Hiyo nafasi anastahili mpinzani mmoja tuu, naye si mwingine ni Shujaa Tundu Lissu, ili apambane na huyu Jiwe ambaye, utawala wake tumeshuhudia akitumia vyombo vya dola vibaya kwa kuuminya upinzani ili usifurukute
Acha tu vyombo vya dola hata kupiga fotokopi fomu ya kuomba kugombea uraisi lilizuia li jiwe hili halina aki....
 
Support mnaitoa wapi wakati hamna nguvu kwenye kamati kuu Wala ya uteuzi mkileta za kuleta Mbowe akiinua simu tu kuwa Kuna wahuni wanaleta fujo mikutano ya chama defender zinashuka na mabomu na virungu mkiondoka hamna ngeu mkatambike
Sababu yeye ndie anatambuliwa na msajili Kama mwenyekiti taifa

Wala sizungumzii kupinga maamuzi yake ndani ya chama, hayo anaweza kuyafanya hata nusu saa kutoka sasa. Nazungumzia support yake ni sisi wapiga kura. Kama sisi hatukubaliani na maamuzi yake hana atakalofanya. Angekua ccm wangalau angeweza kutambia mbeleko ya vyombo vya dola. Lakini ukiwa upinzani, nguvu yako halisi ni wafuasi tu.
 
Mkuu FAKE NEWS. Mbowe hawezi kurudia makosa makubwa ya 2015.

Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
 
Wananchi tunamtaka membe. Membe for president 2020 via chadema!
Hapa chadema wamelamba dume...kazi kwao
 
Mkuu usitoe povu lako bure huyu aliyeleta hii habari ni lumumba buku 7,chadema haiwezi kuruduia kosa tenaa Membe akatafute pa kufia kisiasa tu.
Nikisemaga vijana wa CDM wengi ni watumiaji HALOPERIDOL pale dirishani no.14 ward ya Acute Mirembe mnacheekaa,angalia KIINGEREZA hicho...kimesimama mno...yaani mwandika yai Hilo awe anaishi kwa kupewa BUKU 7?!!!
Malkia Elizabeth atakuwa ni mke wa chifu kimweri😋😂😂😂
 
Urais sio nafasi ya watu wasio walemavu, bali urais ni kazi ya mtu mwenye akili timamu. Hapo nilipoona tu umesema eti hawezi kutembea vizuri, ndio nimejua ww ni mpuuzi fulani, ndio maana unamtetea Membe huyo mzee muhuni toka ccm.
Unapofanya siasa hutazami unajua nini au nini kilipaswa kuwa bali unatazama uhalisia kwa mda huo.Kwenye siasa wajinga 100 ni muhimu kuliko maprofesa 20
 
Katika yote aliyobugi mh.comrade Lowassa ni kujiunga CDM...ona SASA ALIVYOPOTEZA MENGI....kubwa ni kutafuniwa MTONYO wake na "mwenye hatimiliki ya brand yetu pendwa faaaruuuu John"🍾🍾🍾🍷🍷🍸🍸🥃🥃

Unaongea utoto gani we dogo?
 
Unapofanya siasa hutazami unajua nini au nini kilipaswa kuwa bali unatazama uhalisia kwa mda huo.Kwenye siasa wajinga 100 ni muhimu kuliko maprofesa 20

Kwahiyo uhalisia wa sasa, ni kuwa wananchi watamnyima kura Lissu kwasababu amepatiwa ulemavu na watawala!?
 
CDM benefitted and maximazing parliamentary seats due to what was called "ulipo tupo" kwa kufuatana na nguli km kina mzee Chizii na arbab sheikh Khamis Mgeja,itakuwa Hawa maustadh wachache wa kijijini Londo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CCM wamejaa humu kumkataa Membe. Membe is a phenomenon. Lisu kila dakika yupo hewani. Anatabirika.Membe anajua kutoka na kuingia
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?

Nilifikiri upo jikoni.. kumbe wewe wa humu tu.. oyooooo
 
Vinaja wa uvccm mnajitungia habari bila kukumbuka kuwa dirisha la watia nia wa nafasi ya uraisi kwa tiketi ya chadema limeshafungwa.
 
Wala sizungumzii kupinga maamuzi yake ndani ya chama, hayo anaweza kuyafanya hata nusu saa kutoka sasa. Nazungumzia support yake ni sisi wapiga kura. Kama sisi hatukubaliani na maamuzi yake hana atakalofanya. Angekua ccm wangalau angeweza kutambia mbeleko ya vyombo vya dola. Lakini ukiwa upinzani, nguvu yako halisi ni wafuasi tu.
Mpiga kura ndio Nani unachangia shilingi ngapi uendeshaji Chadema lofa wewe? Kaanzishe chako lakini kuleta za kuleta Chadema sahau.Nakupa ushauri wa bure usije umia kwa usilolijua ambalo kwako Ni usiku wa Giza
 
Halafu huyu Lissu Wala sio tishio kwa CCM na wanachama wake....
Lissu hafanani na Slaa....

Hana kaliba ya Dr Slaa japo ana kipaji Cha kujenga hoja za "kisheria"....

KISIASA hawezi kuteka HISIA za watanzania wa Hali ya chini km magufuli.....
Ninamuona Lissu jinsi atakavyokuwa anatumia PROFESSIONAL JARGONS majukwaani....huku AKITAKA PSYCHOLOGICAL SYMPATHY....

Ninamuona Magufuli akiziteka hisia za WANYONGE,walalahoi,hohehahe wa nchi hii kwa kutumia LUGHA NYEPESI NA DIRECT isiyotaka tochi kuipembua....
 
Back
Top Bottom