Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

MATAGA naona mnajitungia tungia tu vijistori vyenu. Hicho kigazeti chenu cha "Tanzania Perspective" habari zake tunazo. Ni kijarida cha hovyo tuu.

Chadema tunajua mwaka 2015 tulikosea wapi ingawa faida ilikuwa upande wetu. Hivyo puuzeni uzushi wote unaotolewa na MATAGA.

Membe yupo Rondo huko, Mbowe yupo Dar. Membe hajapewa kadi ya Chadema na mchakato wa uchukuaji fomu za kuomba kuchaguliwa unaendelea. Nyie endeleeni kuota ndoto za mchana.
Mkuu, maipaniki. Jasusi yupo ndani ya ufipa. Tayari kushika usukani...
 
Naona mnapiga ramli. Endeleeni tu ila msiyempenda TUNDU ANTIPAS LISSU ndo mgombea wa upinzani mwaka huu. Na nakuhakikishia kwa mlivyoharibu kwenye kilimo, uchumi na wafanyakazi kwa miaka hii mitano jiandaeni kumkabidhi nchi na ikulu.
Tunaangalia uhalisia. TAL hana chansi kwa washua kule ushimbonini...
 
Kwanza huyo Lisu akirudi namuonea huruma. Atapambana na kesi kila siku mahakamani. Waungane wapinzani wampe Membe, hii jaribu jaribu huwezi jua mkeka unaweza kutiki sababu CCM kipindi hiki wanajiona wameteka nchi ila kiukweli wananchi wameichoka hawaipendi na wanamaisha magumu. Uchaguzi mdogo vijijini wananchi waliwapotezea wanakuja na magari wanakatika watu wawili tu hamna mwananchi hata mmoja kila MTU maisha yamemkaba analalamika. Haya madege, madaraja, wakianza kujisifu CCM wananchi wote wanajua hayawasaidii kitu. DJ na Zitto watulie waamue kumpa ugombea Membe. Wapinzani hadi mda huu wanaogopa kujikusanya hata uwanjani kujadili mambo yao kisa utawala huu. Wampe huyo mzee ajaribu. Kipindi hiki cha jiwe ni Membe tu ndio anaweza akabweka lasivyo wajiandae kupata viti vitatu vya ubunge.
 
Lissu Hana lake zaidi ya kutaka HURUMA NA KULILIWA MACHOZI....

Mh.Bernard Membe anashangaza kweli....

Eti anasema "DIPLOMASIA imeshuka"....

Babu yake Shangazi Fatma Karume alipata kusema "mwafrika anavyozd kusoma anazd kuwa mpumbavu"

Akasema "ni Bora BARAZA langu la mawaziri lijae Hawa mayakhe".....

Kioja cha Membe kuwa DIPLOMASIA imeshuka....yeye alipokuwa waziri wa Mambo ya nje alituletea vile "VYANDARUA VYA kuzuia mbu MSAADA wa George Bush"...
Km DIPLOMASIA yenyewe ndo hii naandamana kwenda chuo kikuu waufute udaktari wangu.....

Nitarudi kwa manjunju kutembeza AL KASUS shubamit
 
Tunaangalia uhalisia. TAL hana chansi kwa washua kule ushimbonini...
Kwa Taarifa yako izo propaganda zilishafeli siku nyingi. Kiuhalisia Chadema inakubalika zaidi na jamii ya wasomi nchi nzima na Ndo mana hata mwenyekiti wenu haachi kuwarubuni vijana makini wa Chadema waunge juhudi mkono.

Sasaivi ni vigumu kuwashinda Chadema Mbeya, Tarime na Songwe kuliko hata Kilimanjaro na Arusha kwa wachaga.

Mnalo mwaka huu.
 
Kwa Taarifa yako izo propaganda zilishafeli siku nyingi. Kiuhalisia Chadema inakubalika zaidi na jamii ya wasomi nchi nzima na Ndo mana hata mwenyekiti wenu haachi kuwarubuni vijana makini wa Chadema waunge juhudi mkono.

Sasaivi ni vigumu kuwashinda Chadema Mbeya, Tarime na Songwe kuliko hata Kilimanjaro na Arusha kwa wachaga.

Mnalo mwaka huu.
Alisikika bavicha mmoja baada ya kupiga kvant ya kamanda mkuu.
 
Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.

CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.

Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
LOoo, hii ni JF kweli katika ubora wake!

Sawa, sio April mosi, lakini inashangaza sana kwa mtu kama wewe kujikuta unaingizwa porini tena mtu kilaza kama huyo aliyekupeleka huko!

Makala yenyewe ilivyoandikwa, lugha mbovu, hata hiyo tu isingekushtua hata kabla ya kumwangalia aliyeleta taarifa?

Kule kusoma 'Heading' tu ya habari yenyewe inakupa taarifa kamili ya yaliyomo ndani ya mada.

Nilikuwa naipita tu hadi nilipoona watu kama wewe mnazidi kuishabikia mada mfu kama hii. Ikanilazimu niache maoni yangu.
 
Lumumba tulieni. TUNDU ANTIPASS LISSU ndo mgombea wa Upinzani October 2020. Na kwa taarifa yenu mpende msipende mnamkabidhi nchi iyo October
Al marhum Sheikh Yahaya alifundshwa utabiri alipokuwa jela nchini Misri...wako uliupatia wapi?!!!😂😂😂.

Tundu...hatishi lolote sanasana akirudi atatumalizia DAWA zetu za machizi....zle HALOPERIDOL na modicates🤣🤣🤣🤣
 
IMG_20200707_172843.jpg
 
Siasa haina dini wala haijawahi batizwa wanaoshabikia ukweli kwenye siasa wataishia kupata vidonda vya tumbo. Na mwanasiasa hajawahi kuwa na aibu, anaweza Fanya uamuzi wowote maadamu kwake una masilahi.
 
Uchaguzi wa mwaka huu membe ni karata nzuri sana kwa sababu zifuatazo

1. Lengo la chadema ni kupata viti vya wabunge na sio kusshinda urais

2. Membe hana makando kando kama wengine

3. Membe ana influence zaidi kuliko wagombea wengine


4. Tindu lissu sio karata nzuri kwa sababu karata yake ya risasi inaweza kuback fire.


5. Membe ana base kubwa ya watu wa kusini.
Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion.

The event followed by former Membe (former CCM cadre) who recently returned his Membership Card of the very powerful and influential party in Africa as its roots originate from back to Freedom fighting era.

Sources close to both parties told that CDM want to deploy Bernard Membe due to his popularity as makeshift towards resurrection of the party due to recently internal crisis. The same strategy used 2015 Election to maximize the number of parliamentary seats has been backed by member of the floor, as they face a very stiff competition from President Magufuli who is admired by many in the world.

According to reports CHADEMA Senior figures have made clear that the odds of becoming presidential candidate are against Tundu Lissu and he is too predictable to use 2017 gunshot as @2020Election main strategy to seek public sympathy.

Until late night the members were yet to agree to line up Bernard Membe in 2020 Election due to large divided opinions as many feared not to repeat 2015 blunder Some told Mr. Membe to wait until 2025 but it has been seen so far Membe wont abide any delays.

The meeting Chaired by most influential man in the Party Mr. Freeman Mbowe who has been publicly criticized by outsourcing Former Prime Minister in 2015 Election.

Troll JF
 
Al marhum Sheikh Yahaya alifundshwa utabiri alipokuwa jela nchini Misri...wako uliupatia wapi?!!!😂😂😂.

Tundu...hatishi lolote sanasana akirudi atatumalizia DAWA zetu za machizi....zle HALOPERIDOL na modicates🤣🤣🤣🤣
Kama chizi basi muacheni apeperushe bendera ya upinzani mwaka huu.

Mnamuogopa TUNDU LISSU kuliko hata mnavyokiogopa kifo. Tulieni tu Huyu ndo msiyempenda na ndo amekuja sasa.
 
Back
Top Bottom