Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mpwa usiwaamini CCMKama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Hahahaaaa, ila Mwamba ukiwa na mpunga wa kutosha lazima akupitishe na kama wewe ni fisadi au jambazi ni lazima atakusafisha kwa nguvu zake zote.Hapa wakimpitisha huyu agombee nitaamini kuwa mwenge wa uhuru umekuja kutufanya Watazania tutawaliwe na CCM milele
Hizo ni mbwembwe tu, membe hawezi kwenda huko na kuacha chama chake cha ACT alichokianzisha akiwa serikalini kwa lengo la kuvuruga upinzani.Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Wakikosea si ndio faida kwenu, inaonekana kuumia sanaChadema wajue msemo wa Kiswahili usemao KUFANYA KOSA SI KOSA: KOSA KURUDIA KOSA!!! Mkirudia kosa mlilofanya na Lowassa huo ndio mwisho wa chama chenu!
Another great mistake, if we could not learn from 2015 election, we will never learn
Mbowe should never trust Membe in either ways
Sidhani kama ni kweliKama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Mkuu kama kusoma hujui hata picha ya mleta mada huoni.Kama haya ni ya kweli,sitashangaa kuona baadhi ya watu wakijiondoa CHADEMA unless wanakubaliana bila wengine kuwa vinyongo.
CHADEMA na wapinzani kwa ujumla,waangalie wananchi wanamtaka nani na si wao wanamtaka nani.
Wasisahau siasa za hamahama na yaliyofanywa na Lowassa bado yako katika fikra za watu ingawa kweli Membe anaweza asiwe kama Lowassa na kina Sumaye na wengineo, ila tatizo ni wananchi watamuamini Membe?
Yeye anataka uraisMembe asipewe kugombea awe mshauri tu wa masuala ya usalama kwenye kampeni
Akagombee CCM kama anautaka ambako amekaa zaidi ya miaka 60 bila kugombeaYeye anataka urais
Nafasi ya juu ya uongozi wa nchi.Yeye anataka urais
Habari yenu inakwisha mwaka huu. Jipange kuhamia act etcHuyo jamaa anacheza mind games, uzi wenye maudhui kama haya uliletwa asubuhi hapa jukwaani kwa lugha ya kiswahili, kisha ukaondolewa. Naona huyu kauleta kwa lugha ya kiingereza, lakini wote wanaoleta uzi wenye maudhui haya ni wanaccm. Bila kujali ni ukweli au uongo. Tunawakanya viongozi wa cdm kutokurudia kosa la Lowassa, kwa utetezi wa aina yoyote ile. Lisu ndio chaguo letu, na iwapo atawekwa jela, ni bora hata tumpigie kura akiwa jela kwa njama za ccm. Tujikite zaidi kudai tume huru ya uchaguzi, kuliko kuokoteza hao wazee wa ccm kwa mtindo ule ule.