Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa hali ilivyo, Membe ataisaidia sana CHADEMA ukilinganisha na Lisu . Ana faida nyingi.
Kwanza ni ukomavu wa kisiasa hivyo kuaminika yaani kutokuwa na mihemko.
Pili ...Membe anatoka CCM chama hivyo kukigawa
Hata wakati wa Lowassa hadithi zilikuwa hizi hizi. Mnadhani tumesahau. Ngoja wakosee wamteue Membe uone jinsi wapiga kura wa upinzani watakavyokuwa wachache. Kwenye hili sisi wafuasi ndio wenye maamuzi na sio vinginevyo.