Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Kwa hali ilivyo, Membe ataisaidia sana CHADEMA ukilinganisha na Lisu . Ana faida nyingi.
Kwanza ni ukomavu wa kisiasa hivyo kuaminika yaani kutokuwa na mihemko.
Pili ...Membe anatoka CCM chama hivyo kukigawa

Hata wakati wa Lowassa hadithi zilikuwa hizi hizi. Mnadhani tumesahau. Ngoja wakosee wamteue Membe uone jinsi wapiga kura wa upinzani watakavyokuwa wachache. Kwenye hili sisi wafuasi ndio wenye maamuzi na sio vinginevyo.
 
Hii yote ni michezo ya ccm chadema wanaijua vizuri,labda aende nccr au tlp,
Mgombea wa chadema ni Lissu pekee ndie anaeweza pambana na ccm,
 
Hii yote ni michezo ya ccm chadema wanaijua vizuri,labda aende nccr au tlp,
Mgombea wa chadema ni Lissu pekee ndie anaeweza pambana na ccm,
Chadema ikimchukua membe itanufaika na Kugawa kura za CCM.
Membe ataipa Chadema kura na majimbo ya kusini .Ikumbukwe Membe anasikilizwa Linda na Mtwara Chadema haina nguvu sana huko.
Membe hana kesi ama tuhuma nyingi kama Lisu .Lisu .

Lisu ataogopwa kwa maana ya visasi.

Membe ana umri safi kuliko Lisu ametulia.
 

Vyovyote wafanyavo watabaki tu,
Sanasana wakimuacha lisu kidogo watabaki wamoja hata wakishindwa ila kwa membe watavurugana.
 
We all know that you are senior cheap, poor minded ccm propagandist, we can't believe any opinions from you on Chadema. With all due respect please stay away from a competent, ethical and surprisingly Chadema candidate Mr. Tundu Lissu.
 
Lissu ni matured hawezi lipiza kisasi
 
Hii yote ni michezo ya ccm chadema wanaijua vizuri,labda aende nccr au tlp,
Mgombea wa chadema ni Lissu pekee ndie anaeweza pambana na ccm,

Uzuri viongozi wote wa cdm wanaona vyema maoni yetu sisi wafuasi wao humu mitandaoni. Tulio wengi hatumtaki mtu yoyote tena toka ccm, na wala Mbowe, Msingwa,Nyalandu nk, hakuna anayekubalika zaidi ya Tundu Lisu. Hivyo ni juu yao kufanya maamuzi kutokana na mitazamo ya sisi wapiga kura wao, na sio kinyume chake.

Ifahamike cdm haitakufa kwa kukosa kutangazwa washindi kwenye box la kura, kwakuwa Magufuli anatumia madaraka yake vibaya kunajisi box la kura, bali cdm itadhoofika kwa kuokoteza mgombea wa aina ya Lowassa, tena kwa mtindo ule ule wa vodafasta.
 
Kwa hali ilivyo, Membe ataisaidia sana CHADEMA ukilinganisha na Lisu . Ana faida nyingi.
Kwanza ni ukomavu wa kisiasa hivyo kuaminika yaani kutokuwa na mihemko.
Pili ...Membe anatoka CCM chama hivyo kukigawa
Vyama vya upinzani vinapaswa kumsimamisha mtu ambae amethibitisha ni mpinzani hasa, mtu ambae amesimama kidete kusimamia kile ambacho chama chake kinaamini. Sio lazima awe Tundu Lissu au Maalim Seif. Na sio lazima viungane na vimsimamishe mmoja. Kwa bahati mbaya mgombea anayetoka katika Chama Tawala katika dakika za mwisho atakuwa na wakati mgumu kueleza umma kwa nini anadhani Chama hicho hakistahili kuendelea kushika dola. Mtu kama huyo anatakiwa akae kwenye chama chake kipya kwa muda ili aweze kuwathibitishia wenzake kwamba yuko nao kwa dhati kabla hawajampa nafasi yeyote ya uongozi.

Amandla...
 
Ukitaka kumuua kobe, ni lazima umpigie hesabu muda ambao atakitoa kichwa chake ndani ya gamba lake. Haijalishi silaha ambayo utaitumia, isipokuwa ni kutaka matokeo chanya tu. Kiwewe cha Membe kimeshashika mtu pabaya, sasa hivi ni tengua, lazimisha watu kustaafu kisha kuteua tu.
 
Upinzani mpk Sasa hawako serious kuchukua dola
Membe atapita njia kama za lowasa tu

Ova
 
Kwani membe ni miongoni mwa wale waliotangaza nia Chadema katika ule mchakato au umetumwa?
 

Inao mtaji Mkubwa wa kutosha wa hazina ya wagombea
 
Let us wait and see. We abstain from speaking and thinking for CHADEMA. Please don't speculate that Membe will be the presidential flag carrier for the party. I highly doubt.
 

Hizi sifa za Membe kwenda cdm hazina nafasi tena. Membe aende ACT au TADEA, cdm inategemea wafuasi wake, na sio huyo mgombea wa kuokoteza. Tunamtaka huyo huyo Tundu Lissu, hao wanaosema eti atalipiza visasi watajua wao.
 
Lissu ni matured hawezi lipiza kisasi
Hata mimi naamini hivyo lakini watanzania wengi hawaamini hivyo. Mrema alikosa kura kiasi kutokana na watu kuogopa visasi.

Pia Lisu hayupo fiti hasa kwenye kutembea hii inapunguza kitu kikubwa sana katika mitizamo ya mpiga kura.

Chadema waache ubinafsi. CCM wanajiharia kumsikia Membe na sio Lisu. Membe ni mwakilishi wa CCM ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…