Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

I doubt your observation. Come out openly. Do you fear Lisu? The tune of your words does not seem different from that of Bia Yao & Company.
 
We all know that you are senior cheap, poor minded ccm propagandist, we can't believe any opinions from you on Chadema. With all due respect please stay away from a competent, ethical and surprisingly Chadema candidate Mr. Tundu Lissu.
Chadema party decision Makers doesn't want a poor candidate like Tundu Lisu for the presidential post!! Take it or leave it

Chadema was started by Rich people not poor people like Lisu

Lisu in chadema he is just a parasite ,consumer of Chadema money not producer or provider!! Ask how much he has contributed to Chadema financially and how much he has consumed!!!

Tundu Lisu is a liability to the party he has consumed more than what he has contributed !!!
 
Wachaga kwa biashara haaa, yaani hapo Mbowe kashapiga hesabu zake ngapi ataweka mfukoni from Membe, 2015 ilileta tafrani baada ya Mbowe kuona bil kadhaa from EL, mchaga mate, udenda nje nje nusura chama kipasuke, ilaaaa fedha mwana haramu yakheee wote wakajirudi, na kuambiana huyu ni mwenzetu, wa kaskazini jamani, alafu kaja na kitu kidogo pokeeni, kikubwa Mwenyekiti siri yake.. Haa Mnyika akanuna baadae akacheka, Dr Slaa akakimbia mbioo, fedhaa isikie tu hadi Yesu alisalitiwa sembuse binadamu
Anyway, do ur business as usual, ni haki yenu, nisiwaingilie.😅😅
 
Sema kwa namna ambavo serikali ya awamu hii inavokandamiza upinzani ni wazi inahitajika nguvu Fulani hi I ambayo inaweza pia kuwa mwiba kwa ccm, walau upinzani waokoe majimbo na viti vya udiwani....Kuna mtu powerful anahitajika hata kama wasipompa agombee ila awepo kwene kipande Fulani
 
Lissu alishajikampenia hata wakimuweka jela atapita tu.
Ila yule bwana kusini Hana chake.
 
Mkuu unaliamini hilo taahira la CCM? CHADEMA hawawezi kurudia makosa kama hayo! Wamwache aende ACT sisi tunao watu wanaoweza kutuvusha (Nyalandu, Lissu, Msigwa n.k) hawa mbona wanatosha kabisa kumtingisha yule uchwara?
 
Udhaifu wa CDM ni kuwa wanaangalia zaidi matawi ya juu badala ya mizizi. Kuna yule dada wa Chato ambae anapambana kishujaa kuhakikisha bendera ya chama chake inapepea lakini sijawasikia viongozi wake wakimpongeza na kumtia moyo hadharani. Kuna yule mwingine ambae ana kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya lakini na kwenyewe wako kimya. Badala ya kuhangaika na nafasi ambayo sio rahisi kuipata wangewekeza zaidi katika wapambanaji wao wa kawaida ambao watawasaidia kupata madiwani na wabunge wa kutosha kuweza kuisimamia serikali kikamilifu kama hawatashika dola.

Amandla...
 
I doubt your observation. Come out openly. Do you fear Lisu? The tune of your words does not seem different from that of Bia Yao & Company.
Fear him for what I am not a presidential aspirant

My advice to Chadema to short list the just go to Chadema accounts office and ask how much this candidate has contributed financially to the party? And how much he had consumed financially from paty funds and Chadema members .

If financial consumption is greater than his financial contribution to the party that candidate is a liability to the party he should be kicked out .Lisu will be kicked our because he was even demanding money to defend party in cases where he represented!!! Hakuwa na uzalendo like kibatalas and company!!!
 
Membe wamwombe akagombee ubunge kule kusini tena kwenye jimbo la pale mjini, maana kule kwa Nape (Mtama), Mathew anachukua kabla ya misa ya pili!
 
Wakimpitisha nitawazalau maisha yangu yote,bora msigwa agombeee kuliko hayo majasusi ya kijani
Kabisa mkuu! Na mimi wakimpitisha huyu tu narudi zangu CCM maana utakuwa upumbavu huu, nitakuwa napoteza nguvu zangu bure ku-support upinzani usiojielewa! Ina maana asingefukuzwa sisi tusingekuwa na mgombea?
 
Hivi kuna mwanasiasa anatajwa tajwa kwenye mitandao kama Membe wakati huu wa mchakato wa uchaguzi mkuu?
 
Acha uongo wewe!
 
Kabisa mkuu! Na mimi wakimpitisha huyu tu narudi zangu CCM maana utakuwa upumbavu huu, nitakuwa napoteza nguvu zangu bure ku-support upinzani usiojielewa! Ina maana asingefukuzwa sisi tusingekuwa na mgombea?
Watu hawajasahau loasa alichokifanya wakirudia huo ujinga watakuwa wamejimaliza
 
Poor Chadema.

Namuona JPM akishinda kwa kishindo kikubwa (99.9% )na kuna wanachadema watakaokereka na hivyo watakachokifanya ni kuamua kumchagua Chuma bado wale wanaomzimia kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…