Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima.
Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika kijiji cha Rondo hadi mikono salama ya useminari, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari. Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili isiyo ya kawaida akiwa mbele ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza Bernard kama kijana wa mfano kwa nyakati hizo ambaei hakuwa wakusimamiwa kila jambo,
Hayo ni ya Namupa Seminari, lakini sifa zake zinazidi hadi alipojiunga na shule ya upadre kule Itaga Seminari katika mapito yake kielimu, Kanisa katoliki Useminari wa Itaga wanajiuliza hadi leo ilikuwaje kijana huyu mtawa akaacha utume wa upadre na akaibukia ofisi ya rais tena kitengo nyeti cha kuchakata marundo ya taarifa za nchi toka kila pande ya nchi.
Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani upadre, hakuna mahali panapotaja mapungufu yake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la utovu wa nidhamu la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote mbaya toka kwa wakufunzi wake. Pengine hii ndio sifa kuu iliyompendeza Mkuu wa majasusi Tanzania kumchukua. Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa vipaji maalumu kwa mtazamo wa kikatoliki kabisa ambae kanisa lilimtarajia kumtawaza kama padre wake,
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira rasmi ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa miaka kumi na mbili tu hadi 1989 na kisha akaenda masomoni katika chuo cha Johns Hopkins Marekani, alikosomea Diplomasia katika Uhusiano wa Kimataifa kutoka 1990 hadi 1992 akarejea nchini na akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,
Korido za Ujasusi zinaeleza kuwa, Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama ulikuwa wa kutukuka na ameacha kumbukumbu yake nzuri hasa katika medani ya Ujasusi unaovuka mipaka, mfano akiwa masomoni Johns Hopkins, alikuwa ni mmoja ya maafisa waliofanya vizuri katika masomo ya vitendo yaliyofanyikia London katika idara ya Ujasusi ya Scotland Yard (Polisi ya Uingereza) na kupewa tuzo maalumu ya Banquets ikitolewa na the greater wa Scotland Yard Sir Kenneth Newman. Nje ya Diplomasia, Membe alichukua kozi muhimu ya Forensic Criminology.
Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha tarehe 17/10/2006 hadi 1/11/2007 aliteuliwa kuwa naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha 1/12/2007 mpaka 2015 akawa Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni. Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa lilipitia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni na yeye kwa nafasi yake alitatua, Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya, mgogoro wa Comoro, Afrika Magharibi nk. Haya yote yalitukia katika uongozi wa Bernard Membe katika Wizara namba mbili ya kidiplomasia inayohusika na mashauri ya Kigeni.
Baada ya kustafu utumishi, Membe alifanya kazi binafsi za ushauri wa kiusalama Nchini Uturuki kwa rafiki yake mkubwa Recep Tayyip Erdoğan Rais wa Uturuki, Nchini Zimbabwe kwa rafiki yake mkubwa Jenerali Mnanagwa rais wa Zimbabwe, nchini Malta kwa rafiki yake mkubwa Joseph Muscat Waziri mkuu wa zamani wa Malta nk. Lakini kubwa zaidi, Bernard Membe, ndie mwanaccm pekee ambae hakumuogopa Rais Magufuli pamoja na utawala wake wote wa mkono wa chuma, alimpinga hadharani hadi kufukuzwa ndani ya ccm, kwakusimamia msimamo wa haki ya kisiasa ndani ya ccm. Baada ya Magufuli kufariki na Rais Samia kushika madaraka, Membe alirejea CCM kwa uchangamfu uleule bila kutetereka .
Tumuenzi Membe kwa ujasiri na uthubutu wake, Tumuenzi kwa malezi yake mema kwa vijana, Vijana wengi wamepita katika mikono ya Membe, amelala akijivunia kulea na kukuza vijana ambao sasa wanalitumikia taifa kwa weledi mkubwa.
Nina msiba mzito, Nina historia ndefu na Hayati Membe, tutasimuliana kadiri Mizimu ikinijaalia...! Pumzika kwa amani Bernard Membe
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2619873
Hahahahah hatari sanaKwa mara ya kwanza mtu mwema kafa
Hizo KORIDO ZA UJASUSI ziko maeneo gani hapa Tanganyika?
Samia anazijua?
Watu mmevulugwa walahi😂😂Kuleeee ingilia Mbagala Rangi 3, kunaitwa Area 51, kuelekea Azam Chamazi, unakata kulia, alafu kilometa 37 kata kushoto, tembea angalia mbele straight km 19, alafu kuna round about geuka tembea km 12.9 utaona maandishi mekundu makubwa No Road, Don't Cross, na ukuta Mkubwaaaa sana mweusiiiii tiiii, msitu mnene sanaaaa, ni mchana ila utaona giza hivi, alafu moyo na roho yako vitaogopa sana, sasa hapo utaona sauti inakuambia unaenda wapi? Sema Area 51, utasikia ondoka haraka hapa, kisha geuka kimbia speed sana uondoke, utakuwa umeona.
Upuuzi mtupuBernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima.
Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika kijiji cha Rondo hadi mikono salama ya useminari, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari. Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili isiyo ya kawaida akiwa mbele ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza Bernard kama kijana wa mfano kwa nyakati hizo ambaei hakuwa wakusimamiwa kila jambo,
Hayo ni ya Namupa Seminari, lakini sifa zake zinazidi hadi alipojiunga na shule ya upadre kule Itaga Seminari katika mapito yake kielimu, Kanisa katoliki Useminari wa Itaga wanajiuliza hadi leo ilikuwaje kijana huyu mtawa akaacha utume wa upadre na akaibukia ofisi ya rais tena kitengo nyeti cha kuchakata marundo ya taarifa za nchi toka kila pande ya nchi.
Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani upadre, hakuna mahali panapotaja mapungufu yake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la utovu wa nidhamu la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote mbaya toka kwa wakufunzi wake. Pengine hii ndio sifa kuu iliyompendeza Mkuu wa majasusi Tanzania kumchukua. Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa vipaji maalumu kwa mtazamo wa kikatoliki kabisa ambae kanisa lilimtarajia kumtawaza kama padre wake,
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira rasmi ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa miaka kumi na mbili tu hadi 1989 na kisha akaenda masomoni katika chuo cha Johns Hopkins Marekani, alikosomea Diplomasia katika Uhusiano wa Kimataifa kutoka 1990 hadi 1992 akarejea nchini na akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,
Korido za Ujasusi zinaeleza kuwa, Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama ulikuwa wa kutukuka na ameacha kumbukumbu yake nzuri hasa katika medani ya Ujasusi unaovuka mipaka, mfano akiwa masomoni Johns Hopkins, alikuwa ni mmoja ya maafisa waliofanya vizuri katika masomo ya vitendo yaliyofanyikia London katika idara ya Ujasusi ya Scotland Yard (Polisi ya Uingereza) na kupewa tuzo maalumu ya Banquets ikitolewa na the greater wa Scotland Yard Sir Kenneth Newman. Nje ya Diplomasia, Membe alichukua kozi muhimu ya Forensic Criminology.
Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha tarehe 17/10/2006 hadi 1/11/2007 aliteuliwa kuwa naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha 1/12/2007 mpaka 2015 akawa Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni. Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa lilipitia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni na yeye kwa nafasi yake alitatua, Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya, mgogoro wa Comoro, Afrika Magharibi nk. Haya yote yalitukia katika uongozi wa Bernard Membe katika Wizara namba mbili ya kidiplomasia inayohusika na mashauri ya Kigeni.
Baada ya kustafu utumishi, Membe alifanya kazi binafsi za ushauri wa kiusalama Nchini Uturuki kwa rafiki yake mkubwa Recep Tayyip Erdoğan Rais wa Uturuki, Nchini Zimbabwe kwa rafiki yake mkubwa Jenerali Mnanagwa rais wa Zimbabwe, nchini Malta kwa rafiki yake mkubwa Joseph Muscat Waziri mkuu wa zamani wa Malta nk. Lakini kubwa zaidi, Bernard Membe, ndie mwanaccm pekee ambae hakumuogopa Rais Magufuli pamoja na utawala wake wote wa mkono wa chuma, alimpinga hadharani hadi kufukuzwa ndani ya ccm, kwakusimamia msimamo wa haki ya kisiasa ndani ya ccm. Baada ya Magufuli kufariki na Rais Samia kushika madaraka, Membe alirejea CCM kwa uchangamfu uleule bila kutetereka .
Tumuenzi Membe kwa ujasiri na uthubutu wake, Tumuenzi kwa malezi yake mema kwa vijana, Vijana wengi wamepita katika mikono ya Membe, amelala akijivunia kulea na kukuza vijana ambao sasa wanalitumikia taifa kwa weledi mkubwa.
Nina msiba mzito, Nina historia ndefu na Hayati Membe, tutasimuliana kadiri Mizimu ikinijaalia...! Pumzika kwa amani Bernard Membe
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2619873
Mnatuchanganya sasa mara pengo alilo acha Apson usalama wa taifa halizibiki now mnakuja na Pengo alilo acha Membe usalama wa taifa halizibiki, hebu telezeni Membe alikua active na mafile ya wahusika kuhusu muendeleo wa nchi kwnye masuala ya usalama na ushawishi wake kwa mamuazi ya teuzi na mengine yanayo uhusu uslama na uchumi ni yepi kiasi akawa pengo kubwa kinamna hiyo kwenye huo ushushu wake?Bernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima.
Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika kijiji cha Rondo hadi mikono salama ya useminari, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari. Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili isiyo ya kawaida akiwa mbele ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza Bernard kama kijana wa mfano kwa nyakati hizo ambaei hakuwa wakusimamiwa kila jambo,
Hayo ni ya Namupa Seminari, lakini sifa zake zinazidi hadi alipojiunga na shule ya upadre kule Itaga Seminari katika mapito yake kielimu, Kanisa katoliki Useminari wa Itaga wanajiuliza hadi leo ilikuwaje kijana huyu mtawa akaacha utume wa upadre na akaibukia ofisi ya rais tena kitengo nyeti cha kuchakata marundo ya taarifa za nchi toka kila pande ya nchi.
Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani upadre, hakuna mahali panapotaja mapungufu yake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la utovu wa nidhamu la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote mbaya toka kwa wakufunzi wake. Pengine hii ndio sifa kuu iliyompendeza Mkuu wa majasusi Tanzania kumchukua. Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa vipaji maalumu kwa mtazamo wa kikatoliki kabisa ambae kanisa lilimtarajia kumtawaza kama padre wake,
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira rasmi ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa miaka kumi na mbili tu hadi 1989 na kisha akaenda masomoni katika chuo cha Johns Hopkins Marekani, alikosomea Diplomasia katika Uhusiano wa Kimataifa kutoka 1990 hadi 1992 akarejea nchini na akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,
Korido za Ujasusi zinaeleza kuwa, Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama ulikuwa wa kutukuka na ameacha kumbukumbu yake nzuri hasa katika medani ya Ujasusi unaovuka mipaka, mfano akiwa masomoni Johns Hopkins, alikuwa ni mmoja ya maafisa waliofanya vizuri katika masomo ya vitendo yaliyofanyikia London katika idara ya Ujasusi ya Scotland Yard (Polisi ya Uingereza) na kupewa tuzo maalumu ya Banquets ikitolewa na the greater wa Scotland Yard Sir Kenneth Newman. Nje ya Diplomasia, Membe alichukua kozi muhimu ya Forensic Criminology.
Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha tarehe 17/10/2006 hadi 1/11/2007 aliteuliwa kuwa naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha 1/12/2007 mpaka 2015 akawa Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni. Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa lilipitia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni na yeye kwa nafasi yake alitatua, Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya, mgogoro wa Comoro, Afrika Magharibi nk. Haya yote yalitukia katika uongozi wa Bernard Membe katika Wizara namba mbili ya kidiplomasia inayohusika na mashauri ya Kigeni.
Baada ya kustafu utumishi, Membe alifanya kazi binafsi za ushauri wa kiusalama Nchini Uturuki kwa rafiki yake mkubwa Recep Tayyip Erdoğan Rais wa Uturuki, Nchini Zimbabwe kwa rafiki yake mkubwa Jenerali Mnanagwa rais wa Zimbabwe, nchini Malta kwa rafiki yake mkubwa Joseph Muscat Waziri mkuu wa zamani wa Malta nk. Lakini kubwa zaidi, Bernard Membe, ndie mwanaccm pekee ambae hakumuogopa Rais Magufuli pamoja na utawala wake wote wa mkono wa chuma, alimpinga hadharani hadi kufukuzwa ndani ya ccm, kwakusimamia msimamo wa haki ya kisiasa ndani ya ccm. Baada ya Magufuli kufariki na Rais Samia kushika madaraka, Membe alirejea CCM kwa uchangamfu uleule bila kutetereka .
Tumuenzi Membe kwa ujasiri na uthubutu wake, Tumuenzi kwa malezi yake mema kwa vijana, Vijana wengi wamepita katika mikono ya Membe, amelala akijivunia kulea na kukuza vijana ambao sasa wanalitumikia taifa kwa weledi mkubwa.
Nina msiba mzito, Nina historia ndefu na Hayati Membe, tutasimuliana kadiri Mizimu ikinijaalia...! Pumzika kwa amani Bernard Membe
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2619873
Mbona Mayala amemponda sana humuBernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima.

Pole sana kwa kuondokewa na Mtanzania mwenzetu Mzee B.C.Membe(R.I.P). Inasikitisha.Recep Tayyip Erdoğan Rais wa Uturuki
Hapo najiuliza ni yepi ?Taja mambo 3 ambayo atakumbukwa
Watanzania ni watu wa ajabu sana.Kichwa cha habari ni kizuri sana lakin content haina cha maana.Eti alikuwa rafiki wa Rais wa Uturuki.Hiyo itatusaidia nn Kama Taifa.Nilifikiri utatuelezea kwamba alilifanyia Taifa kitu fulani.Hakuna popote ulipoelezea.Halafu unaweka picha mlipokutana.Miaka yote hiyo amefanya nn cha maana kwa Taifa ?Naona Taifa ndio limemsaidia kupata pesa na maisha yeye hakusaidia chochote.Hata alipokuwa akiongea ,Hana influence yeyote.Bernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima.
Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika kijiji cha Rondo hadi mikono salama ya useminari, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari. Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili isiyo ya kawaida akiwa mbele ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza Bernard kama kijana wa mfano kwa nyakati hizo ambaei hakuwa wakusimamiwa kila jambo,
Hayo ni ya Namupa Seminari, lakini sifa zake zinazidi hadi alipojiunga na shule ya upadre kule Itaga Seminari katika mapito yake kielimu, Kanisa katoliki Useminari wa Itaga wanajiuliza hadi leo ilikuwaje kijana huyu mtawa akaacha utume wa upadre na akaibukia ofisi ya rais tena kitengo nyeti cha kuchakata marundo ya taarifa za nchi toka kila pande ya nchi.
Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani upadre, hakuna mahali panapotaja mapungufu yake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la utovu wa nidhamu la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote mbaya toka kwa wakufunzi wake. Pengine hii ndio sifa kuu iliyompendeza Mkuu wa majasusi Tanzania kumchukua. Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa vipaji maalumu kwa mtazamo wa kikatoliki kabisa ambae kanisa lilimtarajia kumtawaza kama padre wake,
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira rasmi ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa miaka kumi na mbili tu hadi 1989 na kisha akaenda masomoni katika chuo cha Johns Hopkins Marekani, alikosomea Diplomasia katika Uhusiano wa Kimataifa kutoka 1990 hadi 1992 akarejea nchini na akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,
Korido za Ujasusi zinaeleza kuwa, Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama ulikuwa wa kutukuka na ameacha kumbukumbu yake nzuri hasa katika medani ya Ujasusi unaovuka mipaka, mfano akiwa masomoni Johns Hopkins, alikuwa ni mmoja ya maafisa waliofanya vizuri katika masomo ya vitendo yaliyofanyikia London katika idara ya Ujasusi ya Scotland Yard (Polisi ya Uingereza) na kupewa tuzo maalumu ya Banquets ikitolewa na the greater wa Scotland Yard Sir Kenneth Newman. Nje ya Diplomasia, Membe alichukua kozi muhimu ya Forensic Criminology.
Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha tarehe 17/10/2006 hadi 1/11/2007 aliteuliwa kuwa naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha 1/12/2007 mpaka 2015 akawa Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni. Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa lilipitia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni na yeye kwa nafasi yake alitatua, Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya, mgogoro wa Comoro, Afrika Magharibi nk. Haya yote yalitukia katika uongozi wa Bernard Membe katika Wizara namba mbili ya kidiplomasia inayohusika na mashauri ya Kigeni.
Baada ya kustafu utumishi, Membe alifanya kazi binafsi za ushauri wa kiusalama Nchini Uturuki kwa rafiki yake mkubwa Recep Tayyip Erdoğan Rais wa Uturuki, Nchini Zimbabwe kwa rafiki yake mkubwa Jenerali Mnanagwa rais wa Zimbabwe, nchini Malta kwa rafiki yake mkubwa Joseph Muscat Waziri mkuu wa zamani wa Malta nk. Lakini kubwa zaidi, Bernard Membe, ndie mwanaccm pekee ambae hakumuogopa Rais Magufuli pamoja na utawala wake wote wa mkono wa chuma, alimpinga hadharani hadi kufukuzwa ndani ya ccm, kwakusimamia msimamo wa haki ya kisiasa ndani ya ccm. Baada ya Magufuli kufariki na Rais Samia kushika madaraka, Membe alirejea CCM kwa uchangamfu uleule bila kutetereka .
Tumuenzi Membe kwa ujasiri na uthubutu wake, Tumuenzi kwa malezi yake mema kwa vijana, Vijana wengi wamepita katika mikono ya Membe, amelala akijivunia kulea na kukuza vijana ambao sasa wanalitumikia taifa kwa weledi mkubwa.
Nina msiba mzito, Nina historia ndefu na Hayati Membe, tutasimuliana kadiri Mizimu ikinijaalia...! Pumzika kwa amani Bernard Membe
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2619873
Faraja hewa ni mbaya sana kwa hiyo wewe uliyeandika hapa sio mtu? Mlishangilia sana na kuchomoza hadharani mkimlaani JPM na hata kuanza kufanya visasi dhidi ya wasaidizi wake mkifikiri Mungu aliye hai hana ushirika na watumwa wa shetani. Watu wote wako sawa usipende kumtenda mwenzio usichopenda kutendwa.....!!!Bernard Kamilius Membe Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, Mwanachama wa chama cha Mapinduzi, na mhudumu wa hadhi ya juu wa Idara ya Usalama wa taifa na "nusu" padre ambae taifa la Tanzania na ulimwengu wa kijasusi utaendelea kumkumbuka daima.
Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika kijiji cha Rondo hadi mikono salama ya useminari, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari. Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili isiyo ya kawaida akiwa mbele ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza Bernard kama kijana wa mfano kwa nyakati hizo ambaei hakuwa wakusimamiwa kila jambo,
Hayo ni ya Namupa Seminari, lakini sifa zake zinazidi hadi alipojiunga na shule ya upadre kule Itaga Seminari katika mapito yake kielimu, Kanisa katoliki Useminari wa Itaga wanajiuliza hadi leo ilikuwaje kijana huyu mtawa akaacha utume wa upadre na akaibukia ofisi ya rais tena kitengo nyeti cha kuchakata marundo ya taarifa za nchi toka kila pande ya nchi.
Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani upadre, hakuna mahali panapotaja mapungufu yake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la utovu wa nidhamu la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote mbaya toka kwa wakufunzi wake. Pengine hii ndio sifa kuu iliyompendeza Mkuu wa majasusi Tanzania kumchukua. Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa vipaji maalumu kwa mtazamo wa kikatoliki kabisa ambae kanisa lilimtarajia kumtawaza kama padre wake,
Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira rasmi ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa miaka kumi na mbili tu hadi 1989 na kisha akaenda masomoni katika chuo cha Johns Hopkins Marekani, alikosomea Diplomasia katika Uhusiano wa Kimataifa kutoka 1990 hadi 1992 akarejea nchini na akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,
Korido za Ujasusi zinaeleza kuwa, Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama ulikuwa wa kutukuka na ameacha kumbukumbu yake nzuri hasa katika medani ya Ujasusi unaovuka mipaka, mfano akiwa masomoni Johns Hopkins, alikuwa ni mmoja ya maafisa waliofanya vizuri katika masomo ya vitendo yaliyofanyikia London katika idara ya Ujasusi ya Scotland Yard (Polisi ya Uingereza) na kupewa tuzo maalumu ya Banquets ikitolewa na the greater wa Scotland Yard Sir Kenneth Newman. Nje ya Diplomasia, Membe alichukua kozi muhimu ya Forensic Criminology.
Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha tarehe 17/10/2006 hadi 1/11/2007 aliteuliwa kuwa naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha 1/12/2007 mpaka 2015 akawa Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni. Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa lilipitia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni na yeye kwa nafasi yake alitatua, Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya, mgogoro wa Comoro, Afrika Magharibi nk. Haya yote yalitukia katika uongozi wa Bernard Membe katika Wizara namba mbili ya kidiplomasia inayohusika na mashauri ya Kigeni.
Baada ya kustafu utumishi, Membe alifanya kazi binafsi za ushauri wa kiusalama Nchini Uturuki kwa rafiki yake mkubwa Recep Tayyip Erdoğan Rais wa Uturuki, Nchini Zimbabwe kwa rafiki yake mkubwa Jenerali Mnanagwa rais wa Zimbabwe, nchini Malta kwa rafiki yake mkubwa Joseph Muscat Waziri mkuu wa zamani wa Malta nk. Lakini kubwa zaidi, Bernard Membe, ndie mwanaccm pekee ambae hakumuogopa Rais Magufuli pamoja na utawala wake wote wa mkono wa chuma, alimpinga hadharani hadi kufukuzwa ndani ya ccm, kwakusimamia msimamo wa haki ya kisiasa ndani ya ccm. Baada ya Magufuli kufariki na Rais Samia kushika madaraka, Membe alirejea CCM kwa uchangamfu uleule bila kutetereka .
Tumuenzi Membe kwa ujasiri na uthubutu wake, Tumuenzi kwa malezi yake mema kwa vijana, Vijana wengi wamepita katika mikono ya Membe, amelala akijivunia kulea na kukuza vijana ambao sasa wanalitumikia taifa kwa weledi mkubwa.
Nina msiba mzito, Nina historia ndefu na Hayati Membe, tutasimuliana kadiri Mizimu ikinijaalia...! Pumzika kwa amani Bernard Membe
Na Yericko Nyerere.
View attachment 2619873
Mkuu hii kauli haifi kwa mwanadamu yoyote.Li mzoga lenu mnaliaga lini?
HakikaKwa mara ya kwanza mtu mwema kafa