Bernard Kamilius Membe niliyemfahamu, Taifa limepoteza mtu!

Jasusi gani mbozeni unauliwa na kaugonjwa kakifua? Jasusi mdebwedo tuuu hakuna cha jasusi wala nini….ni mdebwedo tuuu….

Wewe yerick achana na huyo jasusi uchwara kunywa 🍷 🍷 🍷 🍷 🍷 🍷 🍷 🍷 😀😀😀😀😀😃😃😃
 

All your story i will summarize in One sentence:

Membe alipata umaarufu baada ya kupingana na JPM, end of story, nothing more, nothing less, R.I.P BM.
 
Hizo KORIDO ZA UJASUSI ziko maeneo gani hapa Tanganyika?

Samia anazijua?

Kuleeee ingilia Mbagala Rangi 3, kunaitwa Area 51, kuelekea Azam Chamazi, unakata kulia, alafu kilometa 37 kata kushoto, tembea angalia mbele straight km 19, alafu kuna round about geuka tembea km 12.9 utaona maandishi mekundu makubwa No Road, Don't Cross, na ukuta Mkubwaaaa sana mweusiiiii tiiii, msitu mnene sanaaaa, ni mchana ila utaona giza hivi, alafu moyo na roho yako vitaogopa sana, sasa hapo ukifika utasikia sauti inakuambia kwa ukali unaenda wapi? Sema Area 51, utasikia ondoka haraka hapa, kisha geuka kimbia speed sana uondoke, utakuwa umeona.
 
Watu mmevulugwa walahi😂😂
 
Upuuzi mtupu
 
Mnatuchanganya sasa mara pengo alilo acha Apson usalama wa taifa halizibiki now mnakuja na Pengo alilo acha Membe usalama wa taifa halizibiki, hebu telezeni Membe alikua active na mafile ya wahusika kuhusu muendeleo wa nchi kwnye masuala ya usalama na ushawishi wake kwa mamuazi ya teuzi na mengine yanayo uhusu uslama na uchumi ni yepi kiasi akawa pengo kubwa kinamna hiyo kwenye huo ushushu wake?
 
Mbona Mayala amemponda sana humu
 
je mchango wake kwenye masuala ya uslama wa taia ni yepi? Sidhani kama alisha wahi kuwa ata Director of Internal or External kwnye Uslama wa Taifa au kama likua basi hakukaa sana alitoka Kwenda Canada na ninafahamu ,Membe hakuwa na mahusiano mzuri na viongozi wa juu wa Idara hiyo walio kuwepo , je ni aliwezaje fanya kazi nzuri na viongozi wa juu na kutoa mchango mkubwa wakati hakuwa na maelewano na viongozi hao? ( So sija soma andiko lote )
 
Wa Watanzania ni watu wa ajabu sana.Kichwa cha habari ni kizuri sana lakin content haina cha maana.Eti alikuwa rafiki wa Rais wa Uturuki.Hiyo itatusaidia nn Kama Taifa.Nilifikiri utatuelezea kwamba alilifanyia Taifa kitu fulani.Hakuna popote ulipoelezea.Halafu unaweka picha mlipokutana.Miaka yote hiyo amefanya nn cha maana kwa Taifa ?Naona Taifa ndio limemsaidia kupata pesa na maisha yeye hakusaidia chochote.Hata alipokuwa akiongea ,Hana influence yeyote.
 
Faraja hewa ni mbaya sana kwa hiyo wewe uliyeandika hapa sio mtu? Mlishangilia sana na kuchomoza hadharani mkimlaani JPM na hata kuanza kufanya visasi dhidi ya wasaidizi wake mkifikiri Mungu aliye hai hana ushirika na watumwa wa shetani. Watu wote wako sawa usipende kumtenda mwenzio usichopenda kutendwa.....!!!

Maaskofu kwa nyakati tofauti walimsihi huyu mnayemwita mbobezi aurejee moyo lakini 'he flexed his muscles with arrogance' angekuwa anapumzika kwa amani.
Heshimu wenzenu kama unavyotaka kuheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…