Bernard Kamilius Membe niliyemfahamu, Taifa limepoteza mtu!

Umeandika vizuri, nakushauri ukazikwe nae
 
Taifa limepumua kwa kuondokewa jambazi,jtu lenye tamaa ya madaraka,visasi,na asie samehe,mungu fundi,alifurahia kifo cha Magufuli leo kaungana nae
 
Jasusi kafa kizembe sana,kabanwa kifua mpaka chali mbaya [emoji41][emoji91]
 
Ndio maana alifunga goli dakika ya 89 huyu JAMAA! Kumbe ni kichwa SANA!
 
Hiki uliochoandika hapq,ni historia yake,sio jinsi ulivyomfahamu,
Wewe sio Rika lake,watu wanaoweza kusema walimfahamu,ni waliosoma nae,kufanya kazi nae,wewe hukuwahi kufanya kazi nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…