Bernard Kamilius Membe niliyemfahamu, Taifa limepoteza mtu!


Uzi Sio mbaya Ila umeharibu ulipomtaja marehemu JPM. Una utoto ndani yako.
 
Siempre komredi Membe.....

CCM tumempoteza mtu haswa....

#Muuza Al Kasusu Tandale
 
Muoge Mungu mkuu wangu.....

Kwa hiyo kazi ya mtu inaweza kumzuia na kifo kilichopangwa na Mungu ?!!! Duuh
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230513-225052.png
    44.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230513-225117.png
    154.6 KB · Views: 3
USALAMA WA TAIFA was siku izi wengi UVCCM MWALIMU ALIKUWA ANAPEWA TAARIFA KUNA KIJANA TAASISI ANAFAA NAOMBA MFUMO WA ZAMANI URUDI WACHUKUE MAAKILI MENGI WATUME WATU UKIFAULU VIZURI OBVIOUSLY una akili nyingi RECRUITMENT ya taasisi izame ikachukue be watu mgodini taas
 
Chawa ww huna lolote apitilize kuzimu huyo fisadi
 
Taifa limepumua kwa kuondokewa jambazi,jtu lenye tamaa ya madaraka,visasi,na asie samehe,mungu fundi,alifurahia kifo cha Magufuli leo kaungana nae
Lakini usisahau naye Membe kapitia kipindi kigumu sana cha mateso ma kubwa sana kiuchumi , alifungiwa accounts zake na mali zake akaishi maisha magumu sana mpaka akaanza uza magenereter ya nyumbani kwake ili aishi, ni kipindi kigumu sana kwa binadamu yoyote kukipitia cha kudhalilishwa na kuaibishwa kwnye jamii, hivyo hata kama alifurahia kifo cha Magu , kama kwa binadamu yoyote siamini kama asinge smile kama angepita news za kifo hicho kwa jinsi alivyo pitishwa kwenye matatizo hayo makubwa , hata wewe unge smile vile vile kama ungekua wewe na ndio manaa hata wewe kwenye kifo hicho ume sema "Mungu fundi"
Kuhusu ku tosamehe , nani asamehe mtu aliye chafua na kuhakikisha ana filisika ? ni kitu kigumu sana ,Membe hakua malaika ila alikua binadamu aliye pitishwa kwenye changamoto kubwa sana kwa hao hao wenye uchu wa madaraka pia .
 
Mkuki kwa nguruwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlishangilia kifo cha JPM, tuacheni tushangilie ushindi dhidi ya mende[emoji23]
Dhambi za mawazo.....mkuu jiangalie sana nafsi yako...muogope Mungu ukweli wa kumuogopa mkuu wangu..

Pole sana Cecy na familia [emoji120]

Karibu Rondo tumzike marehemu....

Rest easy kamarada BCM amen[emoji120]
Rest easy kipenzi chetu El Comandante JPM amen[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…