Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Waziri Mkuu huwa ni Mbunge wa kuchaguliwa kwa kupigiwa kura bungeni..
Kwani Lissu alivyosema sehemu zote walizopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa tena unafikiri walikuwa wanamaanisha nini??? So unajua Jimbo la Mtama Nape kapita bila kupingwa????[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu uzuri mgombea wa ACT alikamatwa na PCCB hivyo hakurudisha fomu.
Sasa hapo ndio Membe anaenda kupitia na kurudi bungeni kupitia jimbo la Mtama ACT.

Na kikubwa zaidi hata Chadema wakiwa na wabunge wachache, Membe katoka CCM hivyo atapigiwa kura na wabunge wengi wa Ccm na kupitishwa kuwa waziri mkuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiambiwa mwaka huu CCM mtajua hamjui muwe mnaelewa!!
 
Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Kuwa waziri mkuiu ni lazima uwe mbunge tena wa kuchaguliwa na wananchi.
 
Kuwa waziri mkuiu ni lazima uwe mbunge tena wa kuchaguliwa na wananchi.
Kwani Lissu alivyosema sehemu zote walizopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa tena unafikiri walikuwa wanamaanisha nini??? So unajua Jimbo la Mtama Nape kapita bila kupingwa????😂😂😂 Alafu uzuri mgombea wa ACT alikamatwa na PCCB hivyo hakurudisha fomu.
Sasa hapo ndio Membe anaenda kupitia na kurudi bungeni kupitia jimbo la Mtama ACT.

Na kikubwa zaidi hata Chadema wakiwa na wabunge wachache, Membe katoka CCM hivyo atapigiwa kura na wabunge wengi wa Ccm na kupitishwa kuwa waziri mkuu

😂😂😂😂 mkiambiwa mwaka huu Ccm mtajua hamjui muwe mnaelewa!!
 
Huu ni ushahidi dhidi ya viongozi wa ACT Maalim na Zito.
 
Membe hawezi kuwa Waziri Mkuu. Kama hili nalo ni gumu kwako kulielewa then we have a much bigger problem![emoji4]
Kwani Lissu alivyosema sehemu zote walizopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa tena unafikiri walikuwa wanamaanisha nini??? So unajua Jimbo la Mtama anakotokea Membe Nape kapita bila kupingwa????[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu uzuri mgombea wa ACT alikamatwa na PCCB hivyo hakurudisha fomu.

Sasa hapo ndio Membe anaenda kupitia na kurudi bungeni kupitia jimbo la Mtama ACT.

Na kikubwa zaidi hata Chadema wakiwa na wabunge wachache, Membe katoka CCM hivyo atapigiwa kura na wabunge wengi wa CCM na kupitishwa kuwa waziri mkuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiambiwa mwaka huu CCM mtajua hamjui muwe mnaelewa!!
 
Kwani Lissu alivyosema sehemu zote walizopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa tena unafikiri walikuwa wanamaanisha nini??? So unajua Jimbo la Mtama anakotokea Membe Nape kapita bila kupingwa????😂😂😂
😜😜😂
 
Hiki kiburi cha kusema nileteeni fulani wakati na wewe ni mgombea kimekaaje kwa wapiga kura? Unajiamini kuwa umeshashinda bali wengine bado wakati wote mko katika hali iliyo sawa? Kwa kauli hizi mimi basi, kura yangu na jamii yangu keshazikosa, hatupangiwi.

Unatupangia tukuletee fulani wakati hata wewe hatima yako huijui? Hatukupi wewe na unayesema tumlete, wote tutawafyekelea mbali!
Wamletee chato huko atakapokuwa anazurura kwenye pori la burigi sijui bugiri, anajua yeye
 
hiyo barua haina athari yoyote wala haiwezi kubadilisha maamuzi ya watanzania juu ya kumpigia kura Magufuli.
 
Kwani Lissu alivyosema sehemu zote walizopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa tena unafikiri walikuwa wanamaanisha nini??? So unajua Jimbo la Mtama Nape kapita bila kupingwa????[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu uzuri mgombea wa ACT alikamatwa na PCCB hivyo hakurudisha fomu.
Sasa hapo ndio Membe anaenda kupitia na kurudi bungeni kupitia jimbo la Mtama ACT.

Na kikubwa zaidi hata Chadema wakiwa na wabunge wachache, Membe katoka CCM hivyo atapigiwa kura na wabunge wengi wa Ccm na kupitishwa kuwa waziri mkuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiambiwa mwaka huu CCM mtajua hamjui muwe mnaelewa!!
Una uelewa mdogo sana wewe kijana. Sijui hata unafanya nini humu JF. Hili jukwaa halikufai nenda facebook utakutana na level zako.
 
Lissu atosha.... Rais anayesubiri kuapishwa.
 
Back
Top Bottom