Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Pamoja na kwamba sina mtazamo ulio nao wewe, lakini hii barua wala sina hakika nayo maana Kwanza sio barua kwenda tume, bali ni barua ya Membe kwenda ACT. Tunapaswa kuona barua ya Membe kwenda tume kwa ajili ya kujitoa.