Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Safi sana...
Membe kashajua Lissu ni Rais
42003809_1957837717612216_323658202699943141_n.jpeg
 
Jina la Membe litaendelea kuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, nadhani Membe na uongozi wa ACT wafanye jitihada kuwajulisha wananchi juu ya uamuzi wao huo, hasa mikoa ya kusini ambapo Membe anakubalika kiaina.
Mipango ya chini kwa chini tayari
 
To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Mkuu mbona unanipa wasiwasi sasa na taaluma yako! Tarehe kwenye barua ni kielelezo cha muda ilipoandikwa na kwa ujumla tarehe hutoa rejeo la muda ilipotolewa sasa suala la wewe kuiona Leo haliondoi uhalali wa ujumbe wake.

#huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hapa kwa maneno mengine ni kama umemwambia kuwa asahau kuwa kiongozi kwa miaka mitano ijayo.
Unajua kuwa Lissu alisema akishinda majimbo yote waliyopita bila kupingwa uchaguzi utarudiwa upya??? Unajua jimbo la Mtama anapotokea Membe Nape amepita bila kupingwa????

Sasa ndio mtajua kuwa hamjui mwaka huu dadekiiii😂😂😂
 
Me sijajua mnafurahia nini hapa.. maana kama ni ushawishi Membe hana, so sioni cha kumteteresha Jemedari JPM bado.
 
ongo huyu hapa akitangaza kuwa yeye bado ni mgombea mwezi huu tarehe 19

Zitto muongo
Alisema Membe anapanga baraza la mawaziri hawa watu waongo hasa

Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa Jimbo, sio kuteuliwa.
 
Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Waziri mkuu huwa ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka kwenye chama chenye wabunge wengi. Weka vizuri hilo. Hata hivyo Membe hakujitoa kwa vizuri, bali alisusa baada ya kazi aliyotumwa na ccm kutokukubaliwa na viongozi wa ACT. Hili ni fundisho kwa upinzani wasije kurudia tena kuwapa takataka toka ccm nafasi ya kugombea urais. Hata Nyalandu niliwahi kasema haikuwa sahihi kupewa nafasi ya kushiriki kuteuliwa kugombea urais ndani ya cdm.
 
Mkuu mbona unanipa wasiwasi sasa na taaluma yako! Tarehe kwenye barua ni kielelezo cha muda ilipoandikwa na kwa ujumla tarehe hutoa rejeo la muda ilipotolewa sasa suala la wewe kuiona Leo haliondoi uhalali wa ujumbe wake.

#huko shule mlienda kusomea ujinga?
Mkuu unapoteza muda wako bure!! Kuongea mtu ambae akili zake amekabiza kwa mwenyekiti!
 
Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Soma Katiba vizuri, Waziri Mkuu lazima awe Mbunge wa Jimbo sio wa kuteuliwa!
 
Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
😂😂😂 N kweli kabisa ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom