Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words

Bila kuwa Mbunge wa jimbo?
 
Sasa wale tuliomtolea povu, turudishe nyakati nyuma?

Kama alishawasilisha barua Tangu tarehe tajwa kwa tume, kulikuwa na sababu gani ya kutuletea sinema?
 
Je, Profesa Assad awemo kwenye Baraza la Mawaziri la Tundu Antipas Lissu na kama ni Ok awekwe Wizara gani?
 
Angalieni Tarehe 24.9.2020, ilhali katika ile press conference yake ya kushinda dakika 89 ilikuwa thereafter!
Na bado alikuwa akisema ni Mgombea halali wa ACT.

Hii ni conspiracy tu. Mimi kama mimi bado nitamchagua bwana Membe.
 
Sheria hairuhusu kujitoa sasa!
Mbona inajulikana alishajitoa na wanachama ACT full milutano ya Lissu na bendera zao? Mambo yalishafanyika chini chini na leo ndiyo pasua bomu. Halafu tume naona waliogopa kuweka wazi maana ndiyo kuanguka kwa mwamba. Naona Membe kaamua kuweka wazi. Kumbe toka 24 Sept tume imekalia barua haitaki kutangaza?. Ni balaa kabisa.
 
Nikishasaini Kwa Kalamu Nyekundu Pale Taifa
Nakwenda Kula Chakula Kitamu Na Mke Wangu Hotel
Maalim Seif Na Zito Walishaona Mbali Wakasema Kura Apewe Lissu, Anajitoa Saa Hizi Wakati Dakika Ya 89 Bado

Ukiwa Pandikizi Unaishi Kwa Tabu Sana, Sasa Afanye Arudi Ccm Haraka Sana Awahi Teuzi Kule!!😁😂😅😄😏
Niguse Ninuke!!😀😁😂 Hujatisha Ila Umejitweza
Simply ni kuwa Membe kakubaliana na hali halisi,
 
Daaah kumbe walishajipanga kumwachia Lissu kivingine. Ila barua mbona ni ya toka 24th September? Tume haikujulisha wananchi?

Ila nimeona wanachama wengi ACT na bendera zao wakiwa mikutano ya Lissu. Siasa ni kiboko.
Mie Naomba madaktari wote hasa maspecialist wa moyo leo wafanye kazi maana kuna wagonjwa wengi sana watakuwa admitted hospitali leo kutoka Lumumba
 
Angalieni Tarehe 24.9.2020, ilhali katika ile press conference yake ya kushinda dakika 89 ilikuwa thereafter!
Na bado alikuwa akisema ni Mgombea halali wa ACT.

Hii ni conspiracy tu..Mimi kama mimi bado nitamchagua bwana Membe.
Kama tume ilikubali kukaaa kimya huku Membe akisimamia msimamo basi nimemkubali kuna siri nzito uchaguzi mwaka huu kama ilivyo kwenye zulia zito. Ngoja tuone.
 
Kama hii ni kweli basi Membe kaamua kupiga mpunga wa magufuli alafu kasepa na kijiji. Nashauri leo madaktari wasikae mbali na Magufuli. Hali itakuwa si hali huko!!😂😂😂😂
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Leo Mate Hayapiti Kooni!! Atamtaja Rashid Gwajimaa
Nileteeni Tulia, Nitatulia Tulia
Jana Kasema Nileteeni Daniel
 
Mbona inajulikana alishajitoa na wanachama ACT full milutano ya Lissu na bendera zao? Mambo yalishafanyika chini chini na leo ndiyo pasua bomu. Halafu tume naona waliogopa kuweka wazi maana ndiyo kuanguka kwa mwamba. Naona Membe kaamua kuweka wazi. Kumbe toka 24 Sept tume imekalia barua haitaki kutangaza?. Ni balaa kabisa.
Mbona juzi ametangaza yeye ni mgombea halali wa ACT wazalendo?!
 
Back
Top Bottom