Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Angalieni Tarehe 24.9.2020, ilhali katika ile press conference yake ya kushinda dakika 89 ilikuwa thereafter!
Na bado alikuwa akisema ni Mgombea halali wa ACT.

Hii ni conspiracy tu..Mimi kama mimi bado nitamchagua bwana Membe.
Umempiga chini Magufuli leo???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kweli Lumumba mmechanganyikiwa leo
 
Propaganda, mbona haikuwahi kuzungumzwa
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo amejiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo.

Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa iliandikwa baada ya kuafikiana kama chama juu ya kugombea nafasi ya Urais tangu mwishoni mwezi Septemba mwaka huu.

View attachment 1611219
 
Capture.JPG
 
Dk ya 89, ni penati. Mpigaji ni BM. Mwalimu kashasha unasemaje hapo.

Eeee naona presha zimekuwa juu,mashabiki mikono vichwani. Upepo umebadilika hapa. Ngoja tuonee mpigaji anavyomaliza kazi.
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo amejiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo.

Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa iliandikwa baada ya kuafikiana kama chama juu ya kugombea nafasi ya Urais tangu mwishoni mwezi Septemba mwaka huu.

View attachment 1611219
To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
 
Mbona juzi ametangaza yeye ni mgombea halali wa ACT wazalendo?!
Ni mbinu ya Kibobezi. Na kama watafanikiwa huyo ndiyo PM. Na Membe ana kundi kubwa mno CCM na mipango nayo iko kimya kimya vilevile. Walijificha isiwe hadharani kuogopa kufuatwa na kutishiwa maisha na kufilisiwa kama iliyokuwa kwa wafuasi wa Lowassa. Ilisukwa kiufundi mno. Na anaungwa mkono pia na sensitive units.
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo amejiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo.

Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa iliandikwa baada ya kuafikiana kama chama juu ya kugombea nafasi ya Urais tangu mwishoni mwezi Septemba mwaka huu.

View attachment 1611219
Sisi wana act damu tukiona jina lake kwenye karatasi tunaweka tick ndefu kwake...afadhali kura iaribike kuliko kumpigia msaliti!
Wamesikika wana act wazalendo damu.
 
To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
P
Sarakasi na mambo fake ni mengi sana, Pasco! Hata kusema โ€œSikumfukuza ukuu wa mkoa Gambo!โ€ Ni taarifa fake, pia! Na, kuna wapiga kura fake!
 
Jina la Membe litaendelea kuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, nadhani Membe na uongozi wa ACT wafanye jitihada kuwajulisha wananchi juu ya uamuzi wao huo, hasa mikoa ya kusini ambapo Membe anakubalika kiaina.
 
Back
Top Bottom