Kweli Ufikiri wa nchi za dunia ya tatu ni mdogo sana.
Kwamba mgombea aliandika barua mwezi mmoja kabla halafu barua ikafichwa.
Mgombea akajitokeza na kusema yeye ni mgombea halali wa chama husika.
Mwenyekiti akatoka hadharani kupinga akisema walikubaliana kumuunga mgombea wa chama kingine na hakusema Mgombea aliandika barua kukubaliana na hilo.
Baadae inatoka barua ya mwezi mmoja kabla iliyoandikwa na mgombea kujitoa kuwa mgombea.
Hakuna chama kinaweza kujichafua mbele ya umma kwamba nichama ambacho hakijajipanga kwa mwenyekiti na mgombea kupishana hadharani lazima kuna tatizo kubwa.
Siasa za maigizo za dunia ya tatu hizi ni shida.
Sent from my Infinix X603 using
JamiiForums mobile app