Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe alijitoa kugombea Urais kupitia ACT-Wazalendo tangu Septemba 24. Barua yake ilikataliwa

To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P

Pamoja na kwamba sina mtazamo ulio nao wewe, lakini hii barua wala sina hakika nayo maana Kwanza sio barua kwenda tume, bali ni barua ya Membe kwenda ACT. Tunapaswa kuona barua ya Membe kwenda tume kwa ajili ya kujitoa.
 
Hivi unamuona Membe Hana akili au ni nini?.
Zunguka kwenye mitandao ya kijamii ya Membe, Zitto na ACT WAZALENDO ANGALIA Kama kuna hiyo barua.
Kuna chombo chochote Cha habari Cha Tanzania au nje kimetangaza?.
Tunajua mnapenda msikie hayo Ila msidanganyike.
HIYO SAINI Ya Membe isikushangaze watu wanafoji mpaka saini ya magufuli na Trump.
Mkuu mbona unanipa wasiwasi sasa na taaluma yako! Tarehe kwenye barua ni kielelezo cha muda ilipoandikwa na kwa ujumla tarehe hutoa rejeo la muda ilipotolewa sasa suala la wewe kuiona Leo haliondoi uhalali wa ujumbe wake.

#huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Kwani kuna waziri mkuu kivuli bungeni?
 
Hahaha Hapo shida sio barua nilichokuja kuamini ni kwamba BAVICHA HAWAJITAMBUI kwa hiyo Mpka sasa hawana uhakika na ushindi wanaotutangazia ni Wa kimbunga Wa Tundu lissu Hahaha
Hapa anaehitaji Pole ni BAVICHA MAANA wanatanga tanga sana 😂😂😂🤣🤣🤣 CCM uhakika wetu hauyumbishi Na Sarakasi Tupo imara Hivi Sasa Yaanii ni Hivi hata SAMIA SULUHU akatangaza anahamia Chadema Leo 😂🤣😂🤣 Bado tunashinda kwa Asilimia 75-85
Poleni sana wana BAVICHA
 
Tusubiri aikane. Bado tuna siku 3 solid. Yuko kimya so far na simu zote atafunga. Hatapatikana. Mipango ilikuwa kimya kimya na analo kundi kubwa mno nyuma yake.

Ndugu yako alisahau kuwa CCM ina wenyewe na akaamua kuwadhalilisha. Juzi Arusha Kinana na Lowassa waliongea ila ukiwaangalia unaona kabisa wamelazimishwa na haitoki moyoni.

Hivi unajua Lowassa, Membe na Kikwete? Wakaongezeka akina Nape, Makamba Snr na Jr, Mzee Mangula? Akina Kimbisa unawafahamu?

Tulia Pascal

Kila zama na kitabu chake - wahenga
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilil

Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa iliandikwa baada ya kuafikiana kama chama juu ya kugombea nafasi ya Urais tangu mwishoni mwezi Septemba mwaka huu.

Hata hivyo, baada ya kumtafuta Ndg. Bernard Membe, amekiri barua aliiandika kweli lakini ilikataliwa.

View attachment 1611219

Tumemtafuta Bernard Membe na amesema atatoa ufafanuzi mwenyewe kupitia akaunti yake ya Twitter.

UPDATE:

View attachment 1611325
Naye ameanza kuwa kama Lipumba. Anaandika Barua ya Kujitoa, baada ya Mwezi anarudi kuendelea na kazi ambayo keshakiri kuiacha. Hilo ni Tatizo tayari.
 
PM ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba!
Siku 100 ni kushughulika na Katiba. Uhuru, haki, Maendeleo ta Watu. Ongeza Upendo, Amani, Furahan.k. Tulivikosa mno. Yaani nikiangalia yale mabomu wananchi wanakuwa Rais hawana kosa na waliopotea wengi. Basi acha tujaribu tena kwingine maana tunakoelekea siko kabisa. Tanzania ni nchi ya mfano bora DUNIANI sasa utapoteza hiyo sifa iliyojengwa miaka mingi. Tunaruhusu vitisho, Mateso, vifo vya raia, kupigwa risasi, mabomu n.k.
 
Achaa Uzwazwa wewe Sikh mia za nini hahahahaa tunaingia na Magufuli na kazi inanendelea
 
Hivi unamuona membe Hana akili au ni nini?.
Zunguka kwenye mitandao ya kijamii ya membe,zito na act WAZALENDO ANGALIA Kama kuna hyo barua.
Kuna chombo chochote Cha habari Cha Tanzania au nje kimetangaza?.
Tunajua mnapenda msikie hayo Ila msidanganyike.
HYO SAHINI Ya membe isikushangaze watu wanafoji mpaka saini ya magufuli na Trump.
Nenda kwenye page yake ya tweeter.
 
Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Waziri Mkuu huwa ni Mbunge wa kuchaguliwa kwenye jimbo na kwa kupigiwa kura bungeni..
 
Back
Top Bottom