Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
www.jamiiforums.com

Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka
Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama. Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea...
CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...