Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Upinzani Waligundua kwenye sekeseke lile la Airport,
Maigizo yakaanzia pale,ila ilikuwa too late,
Uzuri walioufanya Walisave vifaranga wachache kuliwa na mwewe,if u what i mean
Walikuwa na wasiwasi nae toka mwanzoni. Haswa Chadema. Ndio maana hawakumkumbatia kabisa.

Amandla...
 
Hawakuungana kama sheria zinavyotaka na wala sio kwa sababu ya Membe, ila walipeana ushirikiano wote ambao hakuwaacha na tatizo la kisheria. Na huyo Membe alipotezewa kimachomacho. Kwa ujumla mbinu ya Membe na ccm ilikuwa ya kizee sana, ndio maana ilibidi ccm wategemee zaidi kura za kwenye mabeg, na matokeo fake ya tiss kutangazwa washindi.
Siasa inayoijua wewe niya kimihemuko ndo maana unaongea pointless hivi bila kufikiria nje ya box.
 
Siasa inayoijua wewe niya kimihemuko ndo maana unaongea pointless hivi bila kufikiria nje ya box.

Ili isiwe siasa ya mihemko inabidi nifikiri kama ww uliye ndani ya box?
 
Aliyoyafanya uchaguzi 2020 yalinigopesha sana; Nikawaza hivi inawezekanaje aliyekuwa Top Gov Official kwa kipindi kireefu akawa kiuhalisia ni Professional Clown🤡 kiasi hiki🙄
 
Back
Top Bottom