Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Upinzani Waligundua kwenye sekeseke lile la Airport,
Maigizo yakaanzia pale,ila ilikuwa too late,
Uzuri walioufanya Walisave vifaranga wachache kuliwa na mwewe,if u what i mean
Walikuwa na wasiwasi nae toka mwanzoni. Haswa Chadema. Ndio maana hawakumkumbatia kabisa.

Amandla...
 
Siasa inayoijua wewe niya kimihemuko ndo maana unaongea pointless hivi bila kufikiria nje ya box.
 
Siasa inayoijua wewe niya kimihemuko ndo maana unaongea pointless hivi bila kufikiria nje ya box.

Ili isiwe siasa ya mihemko inabidi nifikiri kama ww uliye ndani ya box?
 
Aliyoyafanya uchaguzi 2020 yalinigopesha sana; Nikawaza hivi inawezekanaje aliyekuwa Top Gov Official kwa kipindi kireefu akawa kiuhalisia ni Professional Clown🤡 kiasi hiki🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…