Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho chama kimejaa waislamuHiki chama chenu hata hakieleweki, hivi kati ya Mwenyekiti wa chama na Kiongozi wa chama ni nani mwenye nguvu ndani ya chama! Nani anampagia mwenzie majukumu? Na Membe atakuwa na cheo gn? Dah kizunguzungu tu
Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama.
Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea Ndugu Membe.
Karibu Benard Membe ACT–Wazalendo.
View attachment 1508280
View attachment 1508274View attachment 1508275View attachment 1508276View attachment 1508281View attachment 1508278View attachment 1508279
sasa humu watatumiaje polisi kwa mfano? maana kuna hoja nzito sana humu na tunajua CCM ni wepesi sana kwenye hoja ndiyo maana kimbilio lao kila siku linaishia kuwatumia mapolisi.ACT Wazalendo,
Hivi CCM yangu nao hawana Verified Account yao hapa Jamvini JamiiForums? Kama hawana 'wananiangusha' mno na ninaomba wawe nayo pia.
CCM tunajielewa wewe .Wapiga kura wetu hawako mitandaoni wako mitaani na vijijini.Ndio maana hata midahalo mnayotaka ya wagombea uraisi huwa hatuitaki sababu wapiga kura wetu sisi wengi hawana TV.HATUWEZI UZA SURA kwa wenye TV ambao hawafiki hata asilmia tano ya wapiga kura !!!
Na watanzania wa kawaida hata awe na TV hujiaangalilia movie sio mambo ya siasa.CCM hatuwezi poteza muda kuuza sura kwa wenye TV majumbani kwanza wengi hata kupiga kura huwa hawaendi wanakaa nyumbani wanafuatilia tu kwenye TV
Mitandaoni wapiga kura hamna wako wachache sana
Ushindi wa kuchora mchangani.Hongereni sana ACT kwa kumnasa "Kachero Mbobezi".
Anzeni kushona suti sasa ushindi u mlangoni.
Membe kila kitu alichonacho maishani kwake from kazi yake'ukipepeo',mali alizonazo,hadhi aliyonayo,kazi nzuri za watoto wake/ndg zake zote kazipatia chini ya CCM.Tumetangaziwa Mara nne kwamba Membe amekufuzwa ndani ya CCM. Hiyo kukataa kuomba msamaha kwa kusimamia anachokiamini ndiyo kumemfanya afukuzwe uanachana.
Utafiti wa TWAWEZA ulionyesha CCM inapendwa na watu wa vijijini na watu wasiosoma,kwa hio haishangazi.CCM tunajielewa wewe .Wapiga kura wetu hawako mitandaoni wako mitaani na vijijini.Ndio maana hata midahalo mnayotaka ya wagombea uraisi huwa hatuitaki sababu wapiga kura wetu sisi wengi hawana TV.HATUWEZI UZA SURA kwa wenye TV ambao hawafiki hata asilmia tano ya wapiga kura !!!
Na watanzania wa kawaida hata awe na TV hujiaangalilia movie sio mambo ya siasa.CCM hatuwezi poteza muda kuuza sura kwa wenye TV majumbani kwanza wengi hata kupiga kura huwa hawaendi wanakaa nyumbani wanafuatilia tu kwenye TV
Mitandaoni wapiga kura hamna wako wachache sana
Yupo sahihi si vizuri. Membe alirudisha kadi kabla ya hitimiho la kufukuzwa kwake ila hiyo si tatizo, tatizo pia si kaondokaje ccm, tatizo ni nafasi ya uraisi ni kubwa sana kumpa mgeni asiye hata na mwaka chamani. 2015 upinzani ulipitishwa kwenye kipimo cha ukomavu.OK upo vizuri. Am sorry
CDM inanguvu kubwa sana kumbe?Huo ni mkakati wankuivuruga CDM
Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama.
Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea Ndugu Membe.
Karibu Benard Membe ACT–Wazalendo.
View attachment 1508280
View attachment 1508274View attachment 1508275View attachment 1508276View attachment 1508281View attachment 1508278View attachment 1508279
Serikali ya CCM mbona imefanya mengi sana kiasi haihitaji ata nguvu ya ujasusiHio kufukuzwa ni gia/story/sababu tu zimetafutwa za nitoke kwa style gani huku Ccm ili nijitofautishe na Lowassa?Jibu likawa hilo style ya kufukuzwa.
Membe ni mharibifu kama Lowassa tu akimaliza kilichompeleka ACT atarudi zake kwao CCM.