Membe ana mikwara kama Polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo?
Yuko polisi ya wapi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe ana mikwara kama Polepole
Mtu kakamatwa na askari halafu yeye anatuambia wamemteka, wamteke kwa lipi hasa la maana alilo nalo?
Hiie imeshakuwa sehemu ya utendaji wa awamu ya 5Duu! Kutekana mpaka mchana wa juakali! Hii ni hatari sana!
Mjini katiYuko polisi ya wapi!
Yaan mtakaa msubiri hiyo siri kumbe sio siri utasikia anakwambia eti walitaka kujua nilienda kufanya nini dubai na nimerudi na shilingi ngapi.Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo Bernard Membe ametoa muda wa mwisho kuanzia leo, kuachiwa kwa msaidizi wake Jerome Luanda ambaye ametekwa na watu wasiojulikana na kusema wasipo muachia, kesho ataweka kila kitu hadharani kuhusiana na tukio hilo.
ITV Tanzania
Ninachojua tu ni kwamba ukiona Mtu yoyote anajifanya ana 'Siri' fulani ila hataki kuitoa na anapiga tu 'Mikwara Mbuzi' jua hana anachokijua kabisa!
Watekaji wa CCM ni mikono salama? Ben Saa8 yu salama?Wewe elewa kwamba yupo kwenye mikono salama, mengine hayakuhusu bwashwee
Tukimaliza kumuhoji tutamuachia, shida iko wapi ?Watekaji wa ccm ni mikono salama? Ben Saa8 yu salama?
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui masaa matatu wamwachie akiwa mzima na salama."
Soma: Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’
MEMBE ATAKA MSAIDIZI WAKE ARUDI BILA MCHUBUKO
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernard Membe amesema waliomteka Msaidizi wake, Jerome Luanda na kwenda kumkagua nyumbani kwake wamuachie haraka
Membe amedai kuwa, Jerome alitekwa mara baada ya kutua kwenye Uwanja cha Kimataifa wa Julius Nyerere
Amesema, Septemba 17 ataongea na Waandishi wa Habari ili kuelezea zaidi kuhusu tukio hilo. Aidha, amesema sio vyema kutumia Polisi kama kichaka cha kujificha
#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020
View attachment 1571927
Mbwa muoga huwa anabweka sana.ooh,niguse ninuke,oooh asiporudi mtaona.Membe,wewe huu ni mwaka wa tatu unabweka tuuu mpaka tukaona humu eti 'twende na Membe 2020' . Kumbe masikini huna lolote hata kuongea hujui na unachosema wala hakieleweki.Sasa kama juzi unaongea mambo ya kutiwa vimrija puani huko Dubai eti vinaumiza.Mbona haindeni kabisa na tunayotegemea toka kwako ? huko si umeenda kwa hiari yako ? yaani Membe huna mvuto, huna sera ,huna lolote na tabia yako ya uongo na ulaghai uiache.SIKUPENDI MEMBE.Taharuki mnajiletea wenyewe, nyie endeleeni na shughuli zenu